Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Serikali ya Tanzania inaniwinda mimi binafsi, kwasababu haipendi tunafanya na tunasema ukweli, Serikali ile ya Tanzania ni ya kiimla haikuchaguliwa na Wananchi wa kweli, ni serikali ambayo imeiba...
11 Reactions
12 Replies
427 Views
Hii ni Hotel ya Kisasa ya Hayati Lukuvi, Ambaye ni Mtumishi wa Umma tangu amalize shulei hadi alipofariki Mishahara ya viongozi wa TANZANIA inafahamika, Ndio Maana Nyerere hadi anakufa Hakuwahi...
44 Reactions
194 Replies
5K Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema hali ya kiafya ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu na mazingira yanayomkabili, ambaye amekuwa akishikiliwa kwa kile alichokiita "kesi ya uongo,"...
30 Reactions
86 Replies
2K Views
Babu yake alikuwa Akida sijui Liwali kwenye serikali ya kikoloni. Baba yake akawa DC kwenye serikali ya Nyerere. Mtoto mtu akawa Rais, na bado ana ushawishi. Mke wake ni mbunge. Mtoto ni naibu...
76 Reactions
254 Replies
20K Views
Ni kwa kutoa kauli kuwa Rais Kikwete ni dhaifu! Amekataa kufuta kauli yake na ametolewa nje ya Ukumbi.
16 Reactions
744 Replies
58K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuutarifu umma kuwa leo, tarehe 10 Aprili 2026, Makamu Mwenyekiti wa chama, Mheshimiwa John Heche, ameongoza jopo la viongozi wa chama katika...
8 Reactions
25 Replies
792 Views
Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera ambaye ni Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, ameendelea na ziara ya kukutana na wadau mbalimbali wa nchini Tanzania ambapo leo Aprili 13, 2026...
0 Reactions
0 Replies
121 Views
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania, James Ole Millya amesema Tanzania ikiwa mwanachama mwaminifu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), itaendelea...
1 Reactions
1 Replies
102 Views
Dakika kama kumi na tano hivi zilizopita, kuna mdau (mwanaharakati) mmoja huko katika mtandao wa X, amedai kuwa clip ya Nchimbi ambayo anasikika akimsifia Nyerere imefutwa katika zile page ambazo...
5 Reactions
23 Replies
981 Views
Nadhani mtakubaliana nami, sidhani kama Watanzania wanahitaji wanahitaji mabadiliko kwa sasa. Maana tukianza na mabadiliko kwanza majangili watatuchezea nakuleta lichama B maana wana watu wao...
4 Reactions
18 Replies
280 Views
Akichangia hotuba ya Waziri Mkuu leo Aprili 13, 2026, Mbunge wa Jimbo la Segerea Bonnah Ladislaus Kamoli amesema kuelekea AFCON 2027 Tanzania inatarajia kupokea wageni lakini miundpmbinu ya Mkoa...
1 Reactions
3 Replies
244 Views
Mbunge wa Kigoma Mjini, Clayton Revocatus Chipando maarufu Baba levo amesema kuwa wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hawapo bungeni kwa ajili ya kukubaliana na kila hoja inayowasilishwa, bali...
0 Reactions
0 Replies
213 Views
Hali ilivyo maeneo ya Kimara Mwisho - Darajani, Mbunge wa huku sijui yuko wapi aje atusaidie yeye na viongozi wengine wenzake
1 Reactions
9 Replies
401 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Balozi Stephen Mbundi, Ikulu ya Chamwino...
0 Reactions
0 Replies
133 Views
Solidarity with my young sister Paulina Pallangyo @ms_walterss as she faces yes another persecution because of her legitimate belief in equality of men and women. Samia Suluhu’s regime has...
2 Reactions
2 Replies
216 Views
Kuna vitu anajutia, ila it's too late. Video hii hapa: Halafu mumewe Andendelile Mwainyekule pia katenguliwa nafasi ya u -CEO wa EWURA.
8 Reactions
81 Replies
3K Views
Akichangia hoja bungeni leo Aprili 13, 2026, Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kusini, Fadhili Chilombe amesema haya; "Serikali iongeze usimamizi wa kazi za TARURA. Ziko baadhi ya sehemu katika nchi...
0 Reactions
2 Replies
117 Views
Akichangia hoja bungeni leo Aprili 13, 2026 Mbunge wa Jimbo la Bariadi, Masanja Kadogosa amesema haya "Lazima kama taifa tujiwekee mpango kwamba tunaanza pengine usafiri wetu wa public, mabasi...
0 Reactions
3 Replies
168 Views
Moja ya sababu kwanini Tanzania ilipigwa ban ya visa in US, ni tuhuma kwamba watanzania wanatumia sana kodi za serikali ya US kwa kuomba benefits mbali mbali badala ya kufanya kazi. Lakini...
2 Reactions
1 Replies
178 Views
Waziri Kombo Akutana na Waziri wa Singapore Kuimarisha Uhusiano na Ushirikiano wa Kiuchumi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb) amekutana na...
0 Reactions
2 Replies
129 Views
Back
Top Bottom