Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbunge wa Viti Maalum, Jasmine Ng’umbi akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mwaka wa fedha 2026/27, ameonesha...
0 Reactions
1 Replies
138 Views
  • Redirect
Tukipata jibu la swali hili tutajua mpango mzima wa movie hii na nani wapo nyuma yake na lengo lao ni nini hasa.
3 Reactions
– Replies
– Views
  • Featured
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche, ametoa wito mzito kwa vijana na wanaharakati nchini kuanzisha kampeni kabambe ya kudai uhuru wa Tundu Lissu...
35 Reactions
132 Replies
3K Views
Moja ya kitu alichofanyikiwa Jamaa ni kuwaamnisha Waumini wake wajinga wajinga kua Uponyaji Wokovu Utajiri Kufanikiwa Ni Matokeo ya kutumia Mafuta, Udongo, Keki, na blah blaaah Jamaa hafundishi...
13 Reactions
22 Replies
555 Views
Mbunge wa Lupembe Edwin Swale adai CHADEMA kufunguliwa ina dhihirisha 'utawala bora' wa awamu ya sita, 'mama anapenda vyama vyote'.
0 Reactions
3 Replies
138 Views
Maamuzi mengi ya Taasisi za kudhibiti yanakua na double standard, huyu jamaa wote tunajua kua yuko CCM na anatumika kuhoji Viongozi wa kiasiasa na pengine kuzungumzia siasa, Kiuandishi hii...
1 Reactions
18 Replies
382 Views
Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amepongeza hatua iliyofikiwa katika ujenzi wa meli nne unaoendelea katika Bandari ya Karema Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi. Kihenzile ametoa pongezi...
5 Reactions
13 Replies
447 Views
Acheni mihemko na hisia za kijinga Msimamo wa chadema uko wazi Lisu aachiliwe ndo waamue kama watafanya mariandano au la Ndo maana CCM wameng'ang'ania apewe masharti kabla ya kutoka chadema...
3 Reactions
5 Replies
159 Views
Heche amekuja na hoja dhaifu sana kuhusiana na CHADEMA kukaa meza ya maridhiano. Alitaja kwanza kuachiwa kwa Lissu ni moja, jambo la pili ni CHADEMA kufunguliwa. Lakini maridhiano si kati ya...
3 Reactions
40 Replies
734 Views
Wananchi wa Ileje kutoka Ikinga, Isongole, Ngulilo, Ndola, Luswisi na Itale kwa pamoja wameonyesha uzalendo wao kwa kumchangia gharama za kuchukua fomu ya ubunge. Msomi Dr Ntimi Mtawa ili agombee...
5 Reactions
44 Replies
4K Views
Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman akiambatana na Mwenyekiti mstaafu wa chama hicho, Juma Duni Haji, leo Jumatatu Aprili 13, 2026 wamekutana na Mwakilishi wa Katibu Mkuu...
1 Reactions
1 Replies
237 Views
Baada ya Nchimbi kuongea jinsi Nyerere alivyochukia na kukemea rushwa na kukataa kabisa kutumia nafasi yake ya uraisi kuwanufaisha watoto wake, ndugu zake na jamaa wengine wa karibu, kumekuwa na...
7 Reactions
24 Replies
690 Views
Kama maridhiano yatakuwa kati ya nyie vyama vya siasa basi mfahamu mtafanya kazi bure.Maridhiano ya kweli ni kushugulikia mambo ambayo wananchi wanayataka kama kukomesha ufisadi,uongozi...
5 Reactions
4 Replies
185 Views
Wanatuita magaidi, lakini wao ndio magaidi halisi. Wanachinja mtu yeyote, popote, wakati wowote wanapotaka, na kisha wanazungumzia haki za binadamu. Aibu kwao." Rais wa Iran
3 Reactions
4 Replies
199 Views
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba ameendelea kuwasisitiza Watanzania kuendelee kudumisha amani Nchini kwa sababu inawawezesha kushiriki katika shughuli...
0 Reactions
3 Replies
175 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinawaarifu wanachama wake, wafuasi na umma wa Watanzania kuwa, Wakili Paul Kisabo amemtembelea Mwenyekiti wa chama, Mhe. Tundu Lissu, katika Gereza la...
10 Reactions
13 Replies
545 Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA - Bara, John Heche amesema kuwa hakuna chama cha kushindana na CHADEMA kwani chenyewe ni chama kikuu cha siasa nchini na si chama kikuu cha upinzani, hakuna chama...
7 Reactions
10 Replies
369 Views
https://youtube.com/live/luCqPlMzdcU?feature=share Sikiliza hii David Kafulila na wenzake wakifafanua jinsi Taifa litakavyokusanya trlioni 477 za Maendeleo kwenye FYDP-IV (2026|27-2030|31)
1 Reactions
15 Replies
245 Views
Naomba majibu hasa hapa kwetu. Kwingine mafuta yameshuka bei sana. Hapa kwetu tutegemee nini?
0 Reactions
4 Replies
255 Views
Kwaiyo hao askari wanashindwa kujiongelea kwa anayewatuma kufanya upuuzi kwa raia :FeelsWeirdMan: ------------ Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu, ameuliza swali Bungeni leo Aprili...
0 Reactions
7 Replies
186 Views
Back
Top Bottom