Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ukiachana tu na wasaka vyeo na pesa, CCM kwa Sasa Haina mwanachama anae jivunia hiki chama. Inabidi tu kizikwe kizaliwe upya. Na wajiandae tu vizuri Wala wasiwe na papala. Hakuna ivumuyo milele...
6 Reactions
18 Replies
399 Views
Kama ilivyo kawaida yake mzee wa Surpries mheshimiwa kanali dokta JEYKEY anatarajia kuushangaza umma leo kwa kutoa jina la Waziri mkuu ambaye watu hawataamini masikioni mwao! Tumeanza na sita sasa...
0 Reactions
525 Replies
49K Views
Kuwa masikini ni utashi wetu. Eti hela iko nje nje.
2 Reactions
4 Replies
213 Views
Hii barabara inakero kubwa na sugu sana ambayo ni foleni isiyoelezeka. Na hii inatokana na udogo wa barabara kwa sababu inapitia magari mengi sana ikiwemo magari makubwa ya mizigo.. Jumamosi...
1 Reactions
5 Replies
132 Views
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza uchaguzi mdogo wa ubunge wa Ismani, mkoani Iringa na madiwani 12 katika kata mbalimbali utafanyika Juni 1, 2026. Uchaguzi wa mbunge katika jimbo...
0 Reactions
0 Replies
232 Views
Hali ya sintofahamu imezidi kushika kasi ndani ya chadema, huku kile kinachoelezwa kama “radhi ya Mbowe” kikitajwa kuwa chanzo kipya cha misuguano, mvutano na mpasuko unaoanza kujitokeza waziwazi...
2 Reactions
5 Replies
215 Views
Aibu kubwa kwa CCM kwa kuwa na Mwenezi wa taifa ambae ana hoja zisizo na masshiko kama hizi. Hajui hata Tanu ilipokuwa chama cha ukombozi kilichangiwa na wananchi? CCM inachangiwa na...
14 Reactions
29 Replies
563 Views
CCM ni mashetani, Salum Mwalimu yuko wapi? EVA Shayo anatutahadhalisha na CCM
3 Reactions
13 Replies
476 Views
Dar es Salaam. Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetoa ripoti ya Haki za Binadamu ya mwaka 2025 kikiyataja mauaji ya Oktoba 29, 2025 kuwa kipindi cha giza katika ulinzi wa haki za...
3 Reactions
2 Replies
301 Views
Akiongelea sakata la Lissu kuendelea kushikiliwa gerezani, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA katumia lugha kali kueleza udhaifu wa Bi. Mkubwa huku akirejea na matamshi yake ya jana kuhusu bei ya mafuta...
20 Reactions
143 Replies
3K Views
Mbunge wa Kalambo, Edfonce Kanoni ameshauri fedha Tsh. Bilioni 200 za vijana zipelekwe wizara yao "Hizi fedha bilioni 200 zimegawika katika wizara za kisekta, ninashauri Serikali fedha hizi...
0 Reactions
7 Replies
262 Views
Akifanya mahojiano na The Chanzo Aprili 16, 2026, Waziri wa nchi ofisi ya Rais- Mipango na uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo "Tunao wajibu wa kuendelea kuelimisha watu wetu kwamba hii ni nchi yao...
0 Reactions
2 Replies
227 Views
Iwapo jambo hili ni kweli, basi ni wazi kwamba CHADEMA imewasaliti Watanzania. ma
5 Reactions
167 Replies
2K Views
  • Redirect
0 Reactions
Replies
Views
Baada ya uteuzi wake mnamo November 13th 2025, Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba alianza rasmi majukumu ya kusimamia shughuli za Serikali na utekelezaji wa sera na mipango ya maendeleo huku...
1 Reactions
11 Replies
570 Views
Hii ni ajabu. Kenya wametoa wapi nyambizi? Kama wana Nyambizi, basi Tanzania tujitafakari.. Samia acha kupamba na CHADEMA. kama una uwezo ondoa njaa Nchini Tanzania
3 Reactions
22 Replies
519 Views
Mbunge wa Viti Maalum (Vijana), Zainab Abdallah, ameshauri kufanyika kwa mabadiliko ya kimfumo katika usimamizi wa maafisa vijana nchini ili kuleta uwajibikaji wenye tija na kasi inayofanana na...
1 Reactions
0 Replies
202 Views
Mbunge wa Jimbo la Ilemela, Kafiti William Kafiti, ametoa wito kwa Serikali kuongeza msisitizo katika sekta ya kilimo kupitia programu ya Building a Better Tomorrow (BBT) kama suluhisho la kudumu...
1 Reactions
3 Replies
269 Views
Back
Top Bottom