Ni uzembe au kutapatapa kama siyo kutengwa ziara ya Samia Urusi kupigwa mabomu na Ukraine?

Father of All

Member
Joined
May 30, 2026
Posts
40
Reaction score
66
1780529158364.png

Akiwa nchini Urusi kwa ziada ya kikazi, rais Samia alijikuta katika mtanange ambapo mji wa St Peterburg ulishambuliwa na drone za Ukraine. Kwa kiongozi wa nchi, hii inaleta picha gani?
Mbali na hilo, alivyokuwa akihangaika kusoma wakati akitoa salamu za kawaida ambazo hazikuhitaji maandishi, inaonyesha ubovu wa kuwa na kiongozi mwenye elimu haba.
Leo, hayo ndiyo nimeona kwenye ziara hii .
 
View attachment 3600842

Ukweli usemwe Bi Mkubwa Kichwani UMEME LOW VOLTAGE SANA
 
View attachment 3600842
Akiwa nchini Urusi kwa ziada ya kikazi, rais Samia alijikuta katika mtanange ambapo mji wa St Peterburg ulishambuliwa na drone za Ukraine. Kwa kiongozi wa nchi, hii inaleta picha gani?
Mbali na hilo, alivyokuwa akihangaika kusoma wakati akitoa salamu za kawaida ambazo hazikuhitaji maandishi, inaonyesha ubovu wa kuwa na kiongozi mwenye elimu haba.
Leo, hayo ndiyo nimeona kwenye ziara hii .
Kwamba Vita vimeanza baada ya ujio wa Rais wa Tanzania 👈

nilitegemea Watanzania tujivunue Rais wetu kukutana na Rais Putin

kimkakati ni tukio la kupongezwa sana na limekuja wkt mwafaka
 
Samia tunae mpaak 2030 Mungu akipenda. Bora yeye anasoma wapo marais hata kusoma inakuwa shida!.

Mnajaribu kuipata matope ziara lakini yapo mengi ya faida kwa Tanzania kiuchumi yanayotokana na hiyo ziara.
 
Kwamba tangu awe rais hii ni ziara yake ya kwanza nje ya Afrika?
Anaweza kuwa na changamoto zake lakini kumtungia changamoto ni upuuzi.
 
Amefanya jambo la busara kusoma kuliko angafanya makosa mfano wa Ile ziara ya Rais W. Rutto.
 
Eti anafanya 'mazungumzo' na mwenyeji wake huku akisoma neno kwa neno kutoka kwenye note book, sasa si angebaki hapa bongo akamtumia email huyo Putin wake badala ya kututia hasara kusafiri na lundo la watu kwenda kufanya nonsense!.
Hakuna kitu pale Kiongozi, Hizi ndio sababu baada ya Magu kufa wakubwa fulani wali taka kupindua męża maana wanajua hili ni galasa
 
Samia tunae mpaak 2030 Mungu akipenda. Bora yeye anasoma wapo marais hata kusoma inakuwa shida!.

Mnajaribu kuipata matope ziara lakini yapo mengi ya faida kwa Tanzania kiuchumi yanayotokana na hiyo ziara.
Hakuna ajali ya kisiasa kama kuwa na bi kidude kama rais wetu. Lau angekuwa na commonsense achilia mengine.
 
Kwamba Vita vimeanza baada ya ujio wa Rais wa Tanzania 👈

nilitegemea Watanzania tujivunue Rais wetu kukutana na Rais Putin

kimkakati ni tukio la kupongezwa sana na limekuja wkt mwafaka
Ukisoma vizuri utopolo ulioandika, utajua wewe ni chawa wa kiwango cha kutisha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom