Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Heshima sana wanajamvi, Tanzania pengine ni nchi pekee duniani yenye maajabu yasiyoweza kulinganisha au kufananishwa na nchi nyingine. Ni jambo la ajabu waziri wa elimu msimamizi wa elimu yenu...
17 Reactions
166 Replies
12K Views
Humphrey na kundi lake la Wana ccm mtandaoni walikuwa wanapeana posho kusaka wanaomkosoa JP na serikali yake, watu wengi waliokamatwa na kushitakiwa ni kazi ya Humphrey na kikosi kazi chake, na...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Hizi tetesi zimesikika hapa Sanya juu kwenye tukio kubwa la kumsimika Chifu wa Siha Mangi Kileo. Viongozi mbalimbali wa serikali wapo hapa hivyo tetesi kama hizi siyo za kupuuza. Mangi Kileo ni...
7 Reactions
81 Replies
7K Views
Rais Samia amewakumbusha viongozi kutoa elimu kwa wananchi juu ya umuhimu wa kuchanja chanjo ya #COVID19 Amesema hayo akizuweka jiwe la msingi la Ujenzi wa Miundombinu ya mabasi ya mwendo kasi...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
rais ajae akiwa mzanzibar ni nani unaona anafaa kuwa makamu wa rais?? Binafsi naona Makamba atafaa
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa karibu miaka 10 sasa baadhi yetu tumekuwa tukipinga na kukemea vikali sana vikao vya CCM kufanyikia ikulu ya Dar es salaam. Haya mambo yalishika kasi sana enzi za Jakaya Kikwete [ambaye siku...
10 Reactions
176 Replies
14K Views
Salaam Wakuu, Leo rais Samia amemtembea Waziri Mstaafu Jaji Warioba na Mawaziri Wastaafu wengine. Kwasababu Jaji Warioba anapigania Katiba Mpya, Je, rais kasikia kilio cha Watanzania? Jaji...
12 Reactions
65 Replies
49K Views
Katibu Itikadi wa CCM aliyeondolewa madarakani bw. Polepole ameudhibitishia umma kuwa aliyekuwa Meneja wa mgombea Urais wa CCM kisha baadae akawa Rais wa Tanzania bwana Abdala Bulembo sio tuu kuwa...
1 Reactions
5 Replies
933 Views
Historia inatuonyesha na kusomeka kuwa Chama cha Mapinduzi (CCM) ni miongoni mwa vyama vikongwe hapa barani Afrika vilivyobaki madarakani hadi sasa baada ya wimbi la kudai uhuru wa bendera, uhuru...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Taarifa kutoka vyanzo vya uhakika Dr Kigwangallah ndiye Waziri mpya wa Afya. Wazee wa Urambo wameshafanya yao bila kijana wao kupewa nafasi hakuna namna.
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Nawasalimu wadau wote wa jukwaa hili; ninaomba tushirikiane kwa pamoja kuangalia jambo hili kutoka pande mbalimbali na kuona kama linaweza kuwa ni uamuzi sahihi kwa majira haya ambayo taifa letu...
17 Reactions
98 Replies
8K Views
Mi nadhani pale Rais anapojibu swali kuhusu kumsamehe Mbowe,rais anaonekana amechoka,halafu anasoma ile prepared script. Magufuli was run to the ground because of overwork. Rais anapaswa...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
TAARIFA KWA UMMA KUTOKA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Si kwa sababu ya kutokuwa na fedha, kama wengi wanavyofikiria, wala ufisadi (ingawaje unachangia), wala si ukoloni! Sababu kubwa ni viongozi wasio na maono wasiojua priorities, na wasiojua dunia...
0 Reactions
2 Replies
641 Views
Ukimwelewa mwandishi anaonyesha Rais alikuwa anaenda chaka. Hakukata kabisa kiu ya wadau
0 Reactions
8 Replies
2K Views
CCM ni chama kikubwa na kina wafuasi zaidi ya milioni 23 nchi nzima hivyo ingekuwa busara kikao cha kamati kuu cha kuwahoji wabunge askofu Gwajima, Polepole na Jerty Slaa kikarushwa mubashara na...
1 Reactions
2 Replies
635 Views
Kuna jambo moja la kustaajabisha sana ambalo lipo na linatokea kila awamu. Lakini kinachonishangaza ni namna ambapo Jambo hilo hushughulikiwa ili liishe na mara zote haliishi vizuri. Mwinyi akiwa...
1 Reactions
3 Replies
589 Views
Leo tarehe 02 Agosti 2021, waandishi wa vyombo mbalimbali vya Habari walipata chanjo dhidi ya UVIKO 19 pale Karimjee Dar. Miongoni mwa waliopokea chanjo ni mwandishi nguli Pascal Mayalla. Katika...
3 Reactions
42 Replies
4K Views
HAYA NDIYO MAAZIMIO YA MKUTANO WA MSAJILI NA VYAMA VYA SIASA JUU YA HALI...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom