Kichwa Cha habari kinajieleza, rejea Waziri mkuu alipo kuwa Kagera, leo sijui Waziri wa Nini nae kaja kakuta uozo kibao Mimi nashauri watumishi wengi wa serikali ni wabadhilifu. Waondolewe.
Wana JF,
Ukisikia nchi kulogwa na aliyeiloga kafa ndio huu mchezo wa kudumaza mambo ya kisayansi na kuzalisha wanasiasa wengi, wanasheria wengi, wahubili wengi kiasi cha kukosa dira ya mpango wa...
Kipindi anaingia Mwinyi sikuwa bado nimezaliwa ila niliskia kwamba aliingizwa kwa kiasi kikubwa na Nyerere aje kutawala huku.
Rais Mheshimiwa wa sasa pia anafanya kazi yake vizuri lakini nae...
Kumeibuka kikundi cha watu wanaojiita Digital Master kikiongozwa na mtu anaejiita Saidi Mbondela jijini Daresalaam ambao kazi yao ni kutangaza wana uwezo wa kutengeneza programme katika simu...
Ni wazi kuwa kwenye siasa vita huanza kama cheche ya moto kwenye msitu wa nyasi kavu. Kuna wapambe(Chawa) na Walinzi hawa hutajirishwa na vita ndani ya taasis.
Wakubwa wajifunze minyukano na...
Mikoa yote imekuwa ikifanikiwa sana kuvutia wawekezaji wenyeji wazawa wa maeneo hayo ya Mikoa husika na watanzania wengine Wengi toka Mikoa mingine kuwekeza kwao na pia kuvutia wawekezaji toka nje...
Ndugu wanabodi naomba niwaulize swali la mtazamo tu. Na hii ni kutokana na waswahili wasemao dalili ya mvua ni mawingu, kwamba kutokana na maamuzi ya vikao vya ccm leo ikiwa vitaamua mbunge wa...
Kuna yule mbunge wa Namtumbo mkoa wa Ruvuma ndugu Vita Kawawa ambaye baba yake alilitendea mengi hili taifa tangu enzi za TANU lakini kijana yule hana mbwembwe, majivuno wala kiherehere...
Juzi katika kikao cha Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wadau wa demokrasia iliibuka tafrani kwenye mitandao ya kijamii baada ya kudaiwa kuwa Zito alimuombea Msamaha kwa Rais Mheshimiwa...
CCM ni ileile wakiona gamba limekomaa na kuna watu wanaoyanyooshea kidole maovu yao wanafanya utaratibu wa kujivua gamba fasta.
Polepole alipoanza walimchukulia poa, ila wameona viewers wanakuwa...
Katika mkutano wa vyama vya siasa, nilimsikia Rais akisema kuna vyama vingine vimeomba usajili.
Kwa mawazo yangu, kama kuna Watanzania wanahitaji Uhuru wakweli na kuitoa CCM madarakani ungekuwa...
Kinachoendelea sahivi kinachekesha suala la Mbowe limegawa watu,
Kuna Wana CCM na watu wengine wanashinikiza Mbowe aachiwe kwa kujishusha yaani kuomba msamaha, wanaenda mbali kwa kudai kuwa Mbowe...
Kwa namna nilivyoisikiliza hotuba ya Rais Samia leo naona ni kama Halima Mdee na wenzake kwa sasa wamekalia kuti kavu.
Ni kwamba Chadema watekeleze matakwa ya demokrasia kwa kusikiliza rufaa za...
Wasaalaam,shikaamooni nipo sijafa.hivi nauliza mbona huduma zinazidi kudumaa hospital ya rufaa kwanini ikose wataalam wa sikio,Koo na pua?najua wakuu mko huku nawaheshimu Sana naombeni rekebisheni...
KAILIMA ALIPONGEZA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI KWA KUWA WABUNIFU, AZINDUA MIRADI MBALIMBALI CHUO CHA CHOGO, MKOANI TANGA
NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima...
Kama nilivyosema kuwa nipo Dodoma, nn imepenyezewa tetesi Job ndungai anaumia Kuona Mbowe yupo uko aliko kisa ugaidi.
Anasema hajawai waza na fikiria kama mtu aliyesoma nae anaweza kuwa gaidi na...
Nasema hivo kutokana na ukweli kuwa chama cha mapinduzi 2015 wananchi walikuwa wameshakikataa kwa kuchoshwa na rushwa iliyokithiri ya utawala wa kipindi hicho!Ujio wa Magufuli ambaye tayari...
Hapo Chadema ukimuondoa mkongwe Prof Safari kiukweli PhD unazitafuta kwa tochi.
Kwanini lakini viongozi wa Chadema akiwemo Tundu Lisu hawana moyo wa kujiendeleza kiPhD kama wenzao wa CCM?
Hata...
Ndugu zangu rais huyu ukimtazama vizuri kuanzia speech zake na action anazozichukua utagundua kuwa Hana nongwa na mtu, Ila Kuna watu wananongwa na rais.alianza vizuri Sana na hajabadilika ni Yule...
KUNA UHUSIANO WA CHEO NA UWEZO WA KUAMUA?
Na Elius Ndabila
0768239284
Ni kawaida kwa sasa na umekuwa ni utamaduni Kwa Mtu akifukuzwa kazi, Akistaafu, Akistafishwa au Kwa sababu zingine zozote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.