#COVID19 Rais Samia: Waelimisheni wananchi kuhusu kuchanja

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,005
9,872
Rais Samia amewakumbusha viongozi kutoa elimu kwa wananchi juu ya umuhimu wa kuchanja chanjo ya #COVID19

Amesema hayo akizuweka jiwe la msingi la Ujenzi wa Miundombinu ya mabasi ya mwendo kasi Awamu ya pili Mbagala rangi tatu

Awali, RC Amos Makalla alisema Dar wanaongoza kwa kuwa na watu wengi waliochanja, suala ambalo Rais amelikanusha
 
Yawezekana RC makalla ni mkweli ikiwa itaangaliwa number ya waliochanja DSM Ukicompare na mikoa mingine, ila ukichukua wastani wa idadi ya watu na jumla ya waliochanja unaweza kuta DSM inazidiwa hata na mikoa yote Tz, na hapo ndo President SSH anapokuwa sahihi.

Ila yote kwa yote elimu kuhusu chanjo ya corona inahitajika sana, hasa ukizingatia hizi sarakazi za mawimbi mapya kila siku. Kama hili wimbi la nne hata chanjo haisaidii, sijui utamshawishi vipi mwananchi akachanje !?
 
Rais Samia amewakumbusha viongozi kutoa elimu kwa wananchi juu ya umuhimu wa kuchanja chanjo ya #COVID19

Amesema hayo akizuweka jiwe la msingi la Ujenzi wa Miundombinu ya mabasi ya mwendo kasi Awamu ya pili Mbagala rangi tatu

Awali, RC Amos Makalla alisema Dar wanaongoza kwa kuwa na watu wengi waliochanja, suala ambalo Rais amelikanusha
Hivi wataendelea kutufanya mazuzu hadi lini?
 
Ni serikali tu iseme lazima basi shughuli imeisha,
Nanai ataipinga serkali?
Labda wahamie burundi
 
Tanzania!? Dar es salaam!? Tena mbagala!?
Watakuambia wakachanje wanaokufaga maana wao hawagi na corona
 
Back
Top Bottom