Humphrey, ulikuwa unapeleka majina yetu TCRA na Polisi kwa Makosa ya Mitandao, Sasa upanga unakukata upande wa pili

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
11,983
20,631
Humphrey na kundi lake la Wana ccm mtandaoni walikuwa wanapeana posho kusaka wanaomkosoa JP na serikali yake, watu wengi waliokamatwa na kushitakiwa ni kazi ya Humphrey na kikosi kazi chake, na aliomba fungu maalum, Leo walewale aliokuwaa awapelekea majina ndio wanamla

N.B: alitishia ma RPC na OCD na wanasheria wa serikali kwamba atawasema kwa baba yake wasipopeleka mashtaka
 
Ngoja avune alichokipanda, wao walitengeneza sheria mbovu wakaipa TCRA iisimamie wakidhani kuna siku hawatakuwa wapinzani ndani ya chama tawala
 
Huyu ni wa kutandika kesi ya uhujumu uchumi au ugaidi ili naye akaonje chungu ya jela
 
Hahahaha, kama kulia vile, ni kupokezana
Mambo zamu zamu. Kama Tawio Adamafio. Mtego alioutengeneza kukamatia watu na yeye ulimnasa. Tena yeye alikuwa wa kwanza.
Lissu kichwa nyie. Yule jamaa pamoja na upungufu alionao kama binadamu alitabiri kitu kama hiki.
 
Moja ya watu siwezi kuwahurumia hata iweje ni huyo jamaa hata akutwe na nini
 
Pamoja na mapungufu ya katiba yetu, kuna wakati huwa naona inajitosheleza imekaa kimafundisho ukijisahau tu na kujiona kichwa inakugeuka tena mpaka unashangaa.​
 
Back
Top Bottom