Godbless E.J. Lema
@godbless_lema
Mh Rais SSH,nakuomba sana kama unaweza tafuta muda wewe pamoja na familia yako mtazame hii movie. Pia DPP , DCI , IGP , DG TISS , CJ na Jaji Kiongozi ukitazama...
Mwanzo wa jambo lolote huwa mgumu ndiyo maana waswahili husema Roma haikujengwa siku moja haijalishi tumetukanwa sana lakini Leo Tumefaniwa kuwasemea watanzaia walio wengi ACT tumepitia kwenye...
Mstaafu Kikwete alisema ni yeye binafsi kama mwenyekiti wa CCM aliyefanikisha hayati Magufuli kuwa mgombea urais wa JMT kwa tiketi ya chama hicho 2015, na kwamba mwenyekiti wa CCM ana nguvu kubwa...
Hadi hapa sasa ukweli unaanza kuwa wazi, mtoto mkubwa wa mbowe Dudley amesema mbowe hajataka msamaha.
Ila ikitokea akataka na akawaambia basi nao watafanya vile anavyotaka, Ila kwa sasa hajataka...
Tuchague lugha moja ya kufundishia kuanzia chekechea mpaka chuo kikuu.
Ningekua mimi ni kiongozi maramoja ningechagua lugha moja iwe ya kufundishia kuanzia shule ya chekechea mpaka chuo kikuu...
Mkuu wa jeshi la polisi Saimon Sirro aliiambia dunia kuwa Wana ushahidi wa kutosha juu ya ugaidi wa Mbowe na wenzake.
Leo hii polisi wameleta kielelezo kinachoonyesha siraha hatari za kivita...
Mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe amesema hana wasiwasi wowote hata kama atakaa jela miaka 2, 5 au 20 hatoomba msamaha kamwe.
Mbowe anasema mwishoni ukweli ni lazima utadhihirika hata kama...
Tumeambiwa wachezaji (13) wa Simba wanaumwa mafua na kukohoa pamoja na vifua posbly ni Covid19
Wachezaji wa timu ya taifa ya wanawake u20 wamekutikana na Covid19 ni 16
Zitto kabwe amekutwa na...
Pole pole baada ya kupigwa Pini na TCRA eti ndo anajua. Safari ya kusema Bado inasafari aise nmeshangaa Sanaa Yani polepole Huyu Huyu?
Kudadeki Sasa na Bado ngoja uvuliwe ubunge itabidi uwe kama...
Kuna mambo katika jamii yetu ya kitanzania huwa yananishangaza sana, baadhi ya mambo hayo ni haya:
1.Mtu anakwambia hafuatilii siasa, ila ukifika wakati wa uchaguzi, anaenda kupiga kura!
2.Miaka...
Tena Mwenyekiti Taifa CCM ( Rais Samia ) kama Wasaidizi wako wanakuficha sasa Mimi GENTAMYCINE leo 'nakuchana' Mubashara hapa hapa kuwa kwa 85% unazungukwa na Wanafiki na Maadui zako ambao tayari...
Wanajukwaa salaam!
Naomba msaada na muongozo wa namna ya kurudisha file zimepotea wakati napiga window nilisahau zilikuwa kwenye Desktop nikasahau ku copy kwenye Disk hasa Ni vitu vya muhimu Sana...
Naibu katibu mkuu wizara ya elimu Prof Carolyne Nombo ameagiza watoto walioacha shule kurudi kwenye masomo na kuwataka maofisa elimu na walimu wakuu kuhakikisha wanasimamia wanafunzi walioacha...
Kwema wakuu? Naingia kwenye hoja moja kwa moja bila kupindisha maneno. Leo tarehe 31/08/2021 bunge la JMT limetoa adhabu ndogo kwa wabunge wawili wa CCM – ndugu Jerry Silaa wa Ukonga na ndugu...
Muda si mrefu mambo yatakuwa yameiva kule CCM ambapo mbivu na mbichi zitakuwa zinaliwa na vigogo watatu ambao ni Wabunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania
Gwajima na Polepole ni ambao wameshika...
Kwa mujibu wa ibara ya 190 ya rasimu ya Katiba ya JMT iliyoundwa na tume ya Jaji warioba ni kuwa kutakuwa na tume huru.
Mwenyekiti, makamu mwenyekiti na wajumbe saba wa tume watakuwa...
Ukimsikiliza huyu bwana pole pole,na ukiangalia hata body language yake,hakika unaweza kusema huyu bwana kuna kitu anatamani kusema lakini aidha dhamira inamsuta,au bado Hana hakika na...
Kichwa Cha habari kinajieleza, rejea Waziri mkuu alipo kuwa Kagera, leo sijui Waziri wa Nini nae kaja kakuta uozo kibao Mimi nashauri watumishi wengi wa serikali ni wabadhilifu. Waondolewe.
Wana JF,
Ukisikia nchi kulogwa na aliyeiloga kafa ndio huu mchezo wa kudumaza mambo ya kisayansi na kuzalisha wanasiasa wengi, wanasheria wengi, wahubili wengi kiasi cha kukosa dira ya mpango wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.