Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

HAYA NDIYO MAAZIMIO YA MKUTANO WA MSAJILI NA VYAMA VYA SIASA JUU YA HALI...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwa kila mtu anayeifuatilia Kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti Mbowe na wenzake 3 huko kwenye Mahakama Kuu, atagundua kuwa hii Kesi ni ya kubambika, kwa maana ya kuwa Majaji wake wanaopangwa...
26 Reactions
56 Replies
4K Views
Nape Nnauye mbunge wa Mtama anasema usivunje mtungi ili kumuua panya aliyeko ndani ya mtungi bali uinamishe mtungi taratiiiibu panya atatoka mwenyewe. Kumchinja Kobe kunahitaji timing. Ameandika...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Jumuiya ya kimataifa (wabeberu) wameikalia kooni serikali ya Mh. Samia Suluhu, kwa kutuma mawakala wake kufuatilia kila hatua jinsi kesi ya kubumba (mchongo) inayomkabili Mh. Mbowe na kutuma...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
TCRA imemshitaki Polepole, Polepole akajitetea kwa TCRA, halafu TCRA ikamhukumu! That is no right! Kuna tatizo kubwa sana. Muhusika amesoma kwa maringo sana juu ya mwenendo mzima wa maamuzi ya...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Hivi sasa vyombo mbalimbali vya kimataifa vya habari vya nje kama vile vya CNN, Aljazeera, BBC na vingine vingi, "headlines" ya habari zao ni kukamatwa na Jeshi la Polisi nchini kwa Mbowe na...
19 Reactions
73 Replies
7K Views
Watanzania zinahitajika dua zenu ili kizidi kuumana.
0 Reactions
0 Replies
532 Views
Watu wengi, wakiwamo wanasiasa na wasomi, wamewajia juu CDM baada ya chama hicho kumshukia kama mwewe Zitto Kabwe baada ya yeye kumwombea msamaha Mwenyekiti wao kwa rais kwamba afutiwe kesi. Hili...
14 Reactions
23 Replies
2K Views
Mhe. Rais Magufuli leo Januari 04, 2019 atashuhudia utiaji saini mkataba wa mauziano ya mahindi kati ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) na Shirika la Chakula Duniani (WFP) kuanzia saa...
14 Reactions
153 Replies
26K Views
Nimeangalia video ya Mh. Rais @samia_suluhu_hassan akizungumza kuhusu serikali kuingia mkataba na kampuni ya Kituruki (Yutek Gemi San Ltd ) ya ujenzi wa meli 5 ,takribani Tsh. Bil.400 . Rais...
12 Reactions
14 Replies
2K Views
"Sina muda wa kukaa kwenye Mdahalo na yeye (Bulembo), simuwezi, historia yake inajulikana si tu ni Mhuni bali tapeli. Kubwa alilofanya ni kutudhoofishia Taasisi ile (Jumuiya ya Wazazi ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Haya Sasa mapambano ya ugaidi ya kina Kingai na Mahita, yamezaa matunda. Wizara ya Mambo ya nje ya marekani imewataka raia wake wasije Tanzania, kutokana na Uhalifu na ugaidi. Sekta ya utalii...
39 Reactions
233 Replies
14K Views
Humprey Polepole na Mimi wote tulikuwa wapiga tarumbeta, Vinanda na vinubi wakati wa JPM Utofauti wetu ndani ya chama na sisi Yeye Humprey Polepole aliendekeza dharau kwa kuwa ni mtu wa kuja...
24 Reactions
38 Replies
3K Views
Ila Zitto KABWE aliongea point kubwa sana kumuomba Rais Samia Suluhu Hassan aangalie suala la M/kiti wa Chadema Taifa, Mh Freeman Mbowe kuhusu kesi yake. Lakin Tundu Lissu alisema CHADEMA haiwezi...
0 Reactions
4 Replies
614 Views
Haki ya maoni ni haki ya kikatiba. Anayedai katiba kuheshimiwa anastahili kuungwa mkono kikamilifu kwa mukthadha huo. Polepole kupinga kunyamazishwa ni dai halali kwa mujibu wa katiba. Mnyonge...
17 Reactions
64 Replies
5K Views
Tanzania kuna mihimili mitatu inayojitegemea na isiyoingiliana ambayo ni bunge na serikali na mahakama Raisi akiulizwa chochote kilicho mahakamani akatae kujibu kuwa siwezi jibu swala lililoko...
11 Reactions
85 Replies
4K Views
Katika kipande kifupi cha video hapo chini Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan katika Mkutano na wadau wa Demokrasia hivi leo ametoa hotuba inayoshangaza sana. Anasema kuwa Rais akitoa kibali...
39 Reactions
173 Replies
9K Views
Kesi hii yenye utata mwingi ingali inaendelea kwenye Mahakama hiyo na Leo Ijumaa mapambano ya kisheria yanaendelea Muda huu . Kama Kawaida Peter Kibatala anaongoza Jopo la Mawakili wa Utetezi...
2 Reactions
42 Replies
5K Views
Hii ni baada ya Team Kambaya na Team Lipumba kukutana kwenye kikao . Mnyukano wenyewe huu hapa
11 Reactions
47 Replies
3K Views
Swahili Times Jaji Joseph Warioba amesema uchaguzi wa mwaka 2020 watu wengi walienguliwa, na kwamba kuna matatizo makubwa na lazima yatatuliwe. Amesema Watanzania wamezoea chaguzi tangu 1958, na...
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Back
Top Bottom