Mwenezi wa Zamani Anapomtangaza Meneja wa Mgombea Urais wao Muhuni na Tapeli!

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,793
71,206
Katibu Itikadi wa CCM aliyeondolewa madarakani bw. Polepole ameudhibitishia umma kuwa aliyekuwa Meneja wa mgombea Urais wa CCM kisha baadae akawa Rais wa Tanzania bwana Abdala Bulembo sio tuu kuwa ni Muhuni bali ni Tapeli pia.
Maneno haya ni mazito sana ndani ya nchi na hususani katika chama chao cha Mapinduzi. Jee kama mtu mkubwa wa kiwango cha Bulembo aliyekuwa jirani na Rais kumbe ni Muhuni na Tapeli, Chama chao kina hadhi ya kuaminika tena?
IMG-20211217-WA0018.jpg
 
Uko sawa, kwanza kuwahita wahuni, matapeli ni kuwapa heshima.

Mnaenda nyumbani kwake mnaweka Toilet papers, KY gelly kuwaondoa watu kwenye mstari hoja.

Sasa Watanzania wanaongea kuhusu KY, Toilet papers na ujinga mwingine.

Sio umeme, maji, uongozi, mikataba, gesi, mfumuko wa bei.
 
Mle kila mtu ni mhuni tatizo wanazidiana tu viwango-kuna wenye PhD, Masters, PGD, Bachelor degree, Advanced Diploma, Diploma, certificate wote tuko nao chama la wana ngoja waumbuane
 
Polepole na Bulembo wote wahuni na matapeli wakubwa! Wamewahujumu sana watanzania!
 
Back
Top Bottom