Vikao vya CCM Ikulu vinakera

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
89,781
2,000
Kwa karibu miaka 10 sasa baadhi yetu tumekuwa tukipinga na kukemea vikali sana vikao vya CCM kufanyikia ikulu ya Dar es salaam.

Haya mambo yalishika kasi sana enzi za Jakaya Kikwete [ambaye siku hizi ni kipenzi cha makamanda].

Magufuli naye sasa anauendeleza huo utaratibu wa hovyo.

Hii inakera sana. Siipendi kabisa mimi.

Ndiyo, inawezekana si kinyume na sheria kufanyia hivyo vikao vyao hapo ikulu.

Lakini, hata kama kwa sasa si kinyume na sheria, kufanyia vikao vya kichama kwenye mali ya serikali ya Watanzania si sawa hata kidogo. Inaleta picha mbaya ya matumizi ya mali ya umma kwa shughuli binafsi za kichama.

Muda umefika sasa wa kulifanya jambo hilo liwe ni kinyume na sheria. Ningependa kuona wabunge wote wenye nia njema, bila kujali vyama na itikadi zao, kulivalia njuga suala hili na kulitungia sheria dhidi yake ili likome.

Mambo ya vyama yawe yanafanyika huko Lumumba, Ufipa, Buguruni, na kwingineko huko. Lakini siyo ikulu.

Naamini jambo kama hili linaweza kupata idadi ya kutosha ya wabunge na kuweza kulikomesha kabisa.

Wabunge kazi kwenu sasa...hebu fanyeni kazi kwa manufaa ya Watanzania wote...walau hata kwa mara moja tu.

Soma pia > Ni halali CCM kufanyia vikao Ikulu?
 
Joowzey

JF-Expert Member
Nov 13, 2015
13,156

Unawashwa
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
45,197

Hao wabunge wana uwezo wa kuwapamgia CCM kwamba Rais asiwe mwenyekiti wa chama?!
 
AirTanzania

JF-Expert Member
Mar 17, 2011
1,139

Nyani Ngabu katika ubora wake leo, naona leo mmeamua wewe na Mzee Mwanakijiji kutoa single moja.
 
SMU

JF-Expert Member
Feb 14, 2008
9,502
2,000
Apparently, Ikulu ni ya watu [watanzania] wote. Chama chochote kikiomba kufanyia kikao Ikulu kinaruhusiwa ili mradi waweke wazi ajenda zao!

Hivyo ndivyo namna viongozi wetu wanavyotuona sisi watanzania [makamanda?:D:D]. Mzee Ben alituita "malofa". Ukitafakari sana kuna ukweli mkubwa (maoni yangu).
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
89,781
2,000
Apparently, Ikulu ni ya watu [watanzania] wote. Chama chochote kikiomba kufanyia kikao Ikulu kinaruhusiwa ili mradi waweke wazi ajenda zao!

Hivyo ndivyo namna viongozi wetu wanavyotuona sisi watanzania [makamanda?:D:D]. Mzee Ben alituita "malofa". Ukitafakari sana kuna ukweli mkubwa (maoni yangu).
CCM wamemuomba nani kufanyia hayo mambo yao hapo?
 
SDG

JF-Expert Member
Feb 28, 2017
7,637
2,000
Lakini hata awam ya JK vikao vilipofanyika Ikulu ukosoaji ulikuwepo.........
 
Boondocks

JF-Expert Member
Mar 18, 2013
797
1,000
They are trying to inflict fear among the members.. We unadhani mtu atakuwa na guts za kum ctriticize mwenyekiti ndani ya ikulu?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom