Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,915
- 6,530
Mi nadhani pale Rais anapojibu swali kuhusu kumsamehe Mbowe,rais anaonekana amechoka,halafu anasoma ile prepared script.
Magufuli was run to the ground because of overwork. Rais anapaswa kupumzika. Sasa hivi ni majira ya sikukuu mpaka wiki ya pili ya Januari .