Kwanza nikupe heshima yako, shkamoo na pole kwa majukumu makubwa ya kuongoza chama,
Siku kadhaa kabla ya sherehe ya uhuru ulifanya kikao na waandishi wa habari kuelezea mafanikio ya chama ndani...
Habari zenu wakuu, ama baada ya salam ningependa sasa kuelekea kwenye mada yetu husika. Ndugu zangu katika maono yang na uzoefu wang wa mambo ya kisiasa, natabiri kuwa hawa ndio watakuwa baadhi...
Habari za Mchana huu. Tukiwa tunafunga wiki kuelekea wikendi hebu tutafakari kidogo.
Nimegundua udikteta sio ishu tena kwenye ulimwengu unaostaarabika.
Dunia ya Sasa madikteta wa zamani wapo...
Amri za ajabu za kuzuia kukutanika kisheria, vikao vya vyama visivyo CCM au rafiki zao DPP kubambika kesi atakavyo basi tunaelekea kufanya ya Korea kaskazini hapa kwetu.
Waakuu salaam,
TLP, CUF, NCCR MAGEUZI ni vyama vilivyokubalika sana katika jamii siku za nyuma, bt baada ya viongozi wao kukubali kutumika na serikali kwa maslahi binafsi, jamii ilivipuuza...
Wamachinga ni watanzania wenzetu wenye haki na wajibu kamili kwa taifa lao. Machinga ni watoto, kaka, dada, wapwa, shangazi, wajomba, wajukuu, bibi, babu, ndugu na rafiki zetu. Ni kundi la...
Zitto Kabwe wa ACT wazalendo amesema jana alijisikia homa na alipoenda kupima aligundulika kuwa na Corona.
Anaendelea vizuri lakini anawasihi watanzania wakachanjwe kwani chanjo inasaidia sana...
Kila Kona kila kijiwe kauli mbiu ni Mbowe Mbowe Mbowe. Huyu mwamba amejua kuwatingisha. Yupo jela huku nje watu wanalipwa wakamshawishi atoke jela. Yaani unawekwa jela then qaliokuweka jela...
Usije ukajisahau ulipotoka na kukumbuka pasipo kikao cha watu na mashauri ya wazee wewe usingekuwa hapo ulipo. Hivyo uwaheshimu na kuwalinda hata kama kunawalio kupinga huwo ndio muda kuonyesha...
Sijui kama ni waandishi wetu au ndio mpango ila Maendeleo hayachagui jinsia
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote
KAZI IENDELEE
Week kadhaa wakati shauri dogo lililomhusu Mohamed Lingw'enya likiendeshwa mahakamani, Shahidi Mchome aliweka bayana mahakamani kuwa Kuna majaji wa michongo!
Leo jaji Tiganga kaja kwa mfumo wa...
Katika hali inayoonesha kuwa fungate imekwisha wamachinga wa Mbagala Rangitatu wamerudi rasmi. Tujiulize muda na gharama zilizotumika nani atafidia? Hili ni tatizo la uongozi dhaifu kwani sheria...
By Mchokozi !! kupitia twitter:
Mnaishinikiza Familia Imuombe Mwamba Akubali Kikao Cha Kumaliza Kesi Kwani Wakati Mnamkamata Na Kumfungulia Kesi Mliomba Kikao Nae? Mwiba Hutoka Ulipoingilia...
Nilimsikiliza rais kwenye lile kongamano na wanasiasa juzi kilichonishangaza ni rais kusema amesamehe je alikosewa nini na nani? Na pili alipomtaka mbowe kutii sheria je mbowe alikosea kitu gani...
"Nawapongeza wanasiasa mliotunukiwa shahada za uzamivu,udaktari wa falsafa. Lakini inawezekana kweli ukawa Mbunge na Waziri, ukapata muda wa utafiti na kuandika tasnifu. Hata ya uzamili ni kazi...
Ndugu zangu nmepata wasaa wa kuhudhuria tukio la SPECIAL OLYMPICS TANZANIA linalofanyika hapa jijini Mwanza kitaifa nimejifunza na kuona mengi sana.
Nilijichanganya tu na watumishi wengi wa Uma...
Kesho tutakuwapo kukipokea kile kielelezo kisichojulikana kilivyomfikia Jumanne mahakamani tokea alipomwachia Inspector Swilla.
Pamoja na kuwa kina kurasa 2 na ni ukurasa wa kwanza pekee ulio na...
Kupata Democrasia kamili lazma watu wapitie katika suluba na Motto. Zitoke damu au Jasho la damu mateso na vurugu za kila Aina. Mbowe avumilie mateso yote. Kama anafanya yote kwa wema Mungu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.