Mkopo wa SGR wa tril 3.3 kwa riba ya 9% kwa miaka 20 tutalipa jumla ya zaidi ya Tshs Tril 7.36 huku riba ikiwa tril 4.06

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Screenshot_20200215-210448.png

Kwa mujibu wa Zitto Kabwe mkopo wa ujenzi wa SGR tuliokopeshwa na benki ya Kibiashara tumepewa kwa riba inayoitwa nafuu ya 9% kwa muda wa miaka 20.

Nimejaribu kuichakata kujua hayo malipo tunayalipaje na kaeli reli itazalisha kuaeza kurejesha fedha hizo kwa wakati? Na rejesho kwa mwezi tuzalishe faida isiyopungua bilioni 30 kwa mwezi.

MAONI YA ZITTO KABWE:

Pia, soma: Zitto Kabwe, usipotoshe watu kuhusu deni la Taifa
 
View attachment 1358881

Kwa mujibu wa Zitto Kabwe mkopo wa ujenzi wa SGR tuliokopeshwa na benki ya Kibiashara tumepewa kwa riba inayoitwa nafuu ya 9% kwa muda wa miaka 20.

Nimejaribu kuichakata kujua hayo malipo tunayalipaje na kaeli reli itazalisha kuaeza kurejesha fedha hizo kwa wakati? Na rejesho kwa mwezi tuzalishe faida isiyopungua bilioni 30 kwa mwezi.

Na hiyo ni iwapo mkopo utaishia hapo hapo, lakini ni dhahiri mkopo zaidi utahitajika ili kazi iishe, ama mradi usikamilike lakini deni liwe kubwa zaidi. Kumbuka hawa wanaokopa sasa kusaka kiki za kisiasa hawatakuwa madarakani na pengine duniani, hivyo ngoma itakuwa kwa watakaokuwepo madarakani.
 
View attachment 1358881

Kwa mujibu wa Zitto Kabwe mkopo wa ujenzi wa SGR tuliokopeshwa na benki ya Kibiashara tumepewa kwa riba inayoitwa nafuu ya 9% kwa muda wa miaka 20.

Nimejaribu kuichakata kujua hayo malipo tunayalipaje na kaeli reli itazalisha kuaeza kurejesha fedha hizo kwa wakati? Na rejesho kwa mwezi tuzalishe faida isiyopungua bilioni 30 kwa mwezi.
Huwezi ukakopa kwenye bank ya biashara then ukadanganya una riba nafuu
 
View attachment 1358881

Kwa mujibu wa Zitto Kabwe mkopo wa ujenzi wa SGR tuliokopeshwa na benki ya Kibiashara tumepewa kwa riba inayoitwa nafuu ya 9% kwa muda wa miaka 20.

Nimejaribu kuichakata kujua hayo malipo tunayalipaje na kaeli reli itazalisha kuaeza kurejesha fedha hizo kwa wakati? Na rejesho kwa mwezi tuzalishe faida isiyopungua bilioni 30 kwa mwezi.
Total of 252 payments.
Kwanini isiwe 240 payments?
Au tuseme loan term ni miaka 21?
Wale wenye 60 yrs old sasa, baadhi yao watakuwa wamegonga 81 wakati mkopo huu unakamilika!
Btw, pesa tunayo, tutalipa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lazima kuna kitu kikubwa kimewekwa rehani, in case fedha cash ikianza kusumbua kulipa.
 
Wanadai hata mkopo ni fedha za ndani, Je wanataka kutwambia kuwa hata riba iliyo juu ya mikopo hii ni fedha za ndani au hasara unayolipa kwa kutokutuwa na fedha zako mwenyewe?

Someone amueleze huyu mzee juu ya kitabu cha confensions of an economic hitman, jinsi mikopo inavyotumika kuziweka nchi changa kwenye utumwa wa kiuchumi.

Yaani unajifanya unapambana dhidi ya mabeberu halafu unatwaa kamba wanayokurushia unajinyonga mwenyewe? (Mkopo wa riba kubwa)
 
Walizisema vibaya Bombardiers, sasa hivi wanazipanda na meno wanakenua! Waliisema vibaya Mfugale Flyover, sasa hivi wanapita wamekenua meno. Leo wanisema vibaya SGR, ikiisha wa kwanza kula vishoka kwenye mabehewa! Wajinga na wapumbavu!!!
 
  • Thanks
Reactions: Oii
View attachment 1358881

Kwa mujibu wa Zitto Kabwe mkopo wa ujenzi wa SGR tuliokopeshwa na benki ya Kibiashara tumepewa kwa riba inayoitwa nafuu ya 9% kwa muda wa miaka 20.

Nimejaribu kuichakata kujua hayo malipo tunayalipaje na kaeli reli itazalisha kuaeza kurejesha fedha hizo kwa wakati? Na rejesho kwa mwezi tuzalishe faida isiyopungua bilioni 30 kwa mwezi.
Zitto amechakachua mahesabu!
 
Halafu Kituko cha Serikali ya Magufuli mkopo unaanza kulipwa hata kabla ya reli kuanza kazi.
Kikwete pamoja na uzembe wake lakini asingeweza kusani mikataba ya kichoko namna iyo.

Naona umebanwa mbavu.
 
Back
Top Bottom