Lissu na Katiba Mpya: Tuweke catching words katika mchakato wa Katiba upande wa wananchi kama ninavyopendekeza hapo chini (rejea hotuba yako)

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,386
73,978
Lazima kuweka maneno ambayo yanaamsha hisia za watu kuwa hil ni la kwetu na si la serikali kama wanavyotaka kufanya kuuteka tena mchakato wa katiba.

Napendekeza
1. Wananchi Ndio wenye Nchi Katiba Initiative au
2. Katiba ya wananchi Initiative
3. Or any other catching words one might think of and get accepted by many
 
Aliwaambia mkutane buguruni shell hakuna hata mdudu aliyetoka ndipo alipoamua kwenda mbio ubalozi wa ujerumani Lissu anawajua vyema wafuasi wake walivyo waoga!
 
Hata mkiweka catching words/phrases kama wanaoongoza initiative ni hao hao viongozi wenu hakuna kitu.
Mfano mkisema, "Katiba ya wananchi", lakini initiative inaongozwa na mtu kama tundu lisu unadhani mwananchi gani mwenye akili timamu atawasikiliza?
Tatizo la chadema sasa hivi ni kwamba hamzungumzii kabisa mahitaji halisi yanayowagusa wananchi moja kwa moja kama huduma za afya, maji, shule, barabara nk. Wananchi hawaoni utetezi wowote toka kwenu kwenye hizo issues, lakini mnategemea wao waunge mkono issue yenu ya katiba, huko ni kutegemea miujiza.
Katiba mpya ni hitaji la wanasiasa, halina mzizi wowote kwenye mahitaji halisi ya mwananchi wa kawaida.
 
Hata mkiweka catching words/phrases kama wanaoongoza initiative ni hao hao viongozi wenu hakuna kitu. Mfano mkisema, "Katiba ya wananchi", lakini initiative inaongozwa na mtu kama tundu lisu unadhani mwananchi gani mwenye akili timamu atawasikiliza?...

mtu mmoja aliwahi kusema katiba ama katiba mpya inasehemu nyingi sana,na inapaswa kuwa nazo nyingine za kurekebisha pia.
lakini campaign ya hawa jamaa imekoma ktk uchaguzi tu.

kuna maswala ya uchumi,usalama,ulinzi,sheria,elimu,biashara kote huki kunahitaji marekebisho.
 
Kama wamejikita kwenye uchaguzi tu, si wangeng'ng'ania tume huru ya uchaguzi kama Zito? Tafsiri ya upotoshaji ruksa. Lakini tunajua tutakacho na hatuhami kwenye hilo.
 
Aliwaambia mkutane buguruni shell hakuna hata mdudu aliyetoka ndipo alipoamua kwenda mbio ubalozi wa ujerumani Lissu anawajua vyema wafuasi wake walivyo waoga!
Wanapenda vitu fulani vigumu vigumu vifanyike ila vifanywe na wengine. Wao wakifuatilia online na kugonga “likes”wakiwa wamejificha home. Muulize Mange Kimambi.
 
Lazima kuweka maneno ambayo yanaamsha hisia za watu kuwa hil ni la kwetu na si la serikali kama wanavyotaka kufanya kuuteka tena mchakato wa katiba...
Mnataka katiba gani tena Ili hali mlikimbia mchakato mkaunda ukawa? Hebu kuweni siliazi na Kodi zetu jamani! Maana hamkawii kukimbia tena mchakato ukianza!
 
Aliwaambia mkutane buguruni shell hakuna hata mdudu aliyetoka ndipo alipoamua kwenda mbio ubalozi wa ujerumani Lissu anawajua vyema wafuasi wake walivyo waoga!
Kuwa mpole muda utasema.. With ambition it's never too late
 
akini initiative inaongozwa na mtu kama tundu lisu unadhani mwananchi gani mwenye akili timamu atawasikiliza?
I can tell you, katika ukoo wenu wote it might be hakuna mtu mwenye akili kama Lisu! Sina undugu wala unasibu a Lis, lkn ukweli kuhusu Lisu uko hivyo. Ni ukweli uliojificha uwa Lisu alishinda Urais... kama CCM inajiamini na inapendwa, kwanini polisi wakimbie na masaduku ya kura? Kwanini mawakala wafukuzwe vituoni? Talk sense na si ushabiki
 
atizo la chadema sasa hivi ni kwamba hamzungumzii kabisa mahitaji halisi yanayowagusa wananchi moja kwa moja kama huduma za afya, maji, shule, barabara nk
Chadema wanatafuta nyenzo za kufaya hayo, na ni KATIBA
 
Kama wamejikita kwenye uchaguzi tu, si wangeng'ng'ania tume huru ya uchaguzi kama Zito? Tafsiri ya upotoshaji ruksa. Lakini tunajua tutakacho na hatuhami kwenye hilo.

niambie ni kwa namna gani democrasia,mamlaka ya rais na tume huru hazirengi uchaguzi.
 
Back
Top Bottom