Msimvimbisheni kichwa Mwingira, hana uwezo wa kupambana na Serikali

Suzy Elias

JF-Expert Member
Nov 9, 2021
1,067
6,193
Huwezi kushindana na dola yeyote Duniani na ukabaki salama.

Mwingira kwa mfano naona watu wameanza kumjaza kichwa eti aendelee kuinanga mamlaka kupitia jukwaa lake la dini jambo ambalo hana uwezo kwalo.

Watu kama kina Mwingira huishia kuropoka na mara waonapo mambo yanakuwa magumu kwao huamua kukimbia Nchi. Na ndicho kinaenda kutokea kwa huyo nabii wa kujiita.
 
Wapi amesema anapambana na serikali?
Yule ni mhuni na tapeli.

Serikali ilifunga benki yake kwa sababu pesa nyingi za hovyo zilikuwa zinapitia kwake akafura!

Serikali imemnyang'anya mashamba aliyowadhulumu wananchi akafura!

Kuna tetesi Serikali inaendelea kumhoji ni wapi zaidi ya pesa bilioni 3 zilizopitia kwenye ac yake zilitokea na imezuia yeye kuzichukua benki amefura!

Mwingira hana usafi huo wa kufikia kuinyooshea kidole mamlaka eti kwa nyendo zake yule ni mzee wa fursa.
 
Wabongo ni Mabingwa sana wa USHABIKI na UNAFIKI.

Wataku-PUMP balaa ili ujichomeke kwenye VITA ukifikiri wako na wewe. Likikutokea lolote unajikuta uko peke yako.

Kama huwajui wabongo muulize Mange Kimambi, Mbowe, na Tundu Lissu.

Lissu aliwahi kukasirika mpaka kuita Taifa la waomba Mungu🤣

In short, Ili uonekane shujaa unatakiwa kuwa unaiponda sana serikali na Rais halafu na Rais anatakiwa akuache tu maana ndio unajijenga hivyo.

Na sasa hivi kwasababu ni Rais muislam, akianza kumpiga battle huyo mwingine, propagandanists wanaweza kuja na stori za kwasababu ni Mkristo, na unajua mashabiki wa bongo hawana akili.

Ila Rais anaweza kukufanya chochote wakati wowote na hakuna kitu utafanya.

Yuko wapi Azory Gwanda, Kanguye na Ben Saanane. Leo kila shabiki anaendelea na maisha yake utafikiri hakuna kitu kilichotokea.

Busara ni moja, usijiingize kupigana VITA ambayo unajua kabisa HUWEZI KUSHINDA.
 
Wabongo ni Mabingwa sana wa USHABIKI na UNAFIKI.

Wataku-PUMP balaa ili ujichomeke kwenye VITA ukifikiri wako na wewe. Likikutokea lolote unajikuta uko peke yako.

Kama huwajui wabongo muulize Mange Kimambi, Mbowe, na Tundu Lissu...

Busara ni moja, usijiingize kupigana VITA ambayo unajua kabisa HUWEZI KUSHINDA.
Eti rais anaweza kufanya chichote na kwa wakati wowote! Kwani rais yuko juu ya Sheria au ni nyie mnaomkuza tu na kwa sababu ya elimu duni. Nenda Marekani au Kenya uone Rais anavyojambishwa mpaka anaombaga msamaha kwa wananchi.

Urais ni public service Kama wewe na Mimi na ndo Mana alitupigia magoti ili tumpe hiyo service aweze kula au apate kazi vinginevyo angekuwa jobles hivyo lazima awe na customer care kubwa tusimnyanganye kazi hiyo tukampa mwingine. Wewe ukitukanwa na boss wako kazini huwa unafanyaje? Ukimind acha kazi tutafute mwingine.
 
Huu uzwazwa wako ndo tunataka tuonfikane nao. Eti rais anaweza kufanya chichote na kwa wakati wowote! Kwani rais yuko juu ya Sheria au ni nyie mnaomkuza tu na kwa sababu ya elimu duni. Nenda marekani au Kenya uone rais anavyojambishwa mpaka anaombaga msamaha kwa wananchi.
Kwahiyo huko Kenya na Marekani wanatawala malaika ?

Anyway, ingia barabarani basi uandamane kuunga mkono maneno ya Mwingira, shabiki zuzu.
 
Yule ni mhuni na tapeli.

Serikali ilifunga benki yake kwa sababu pesa nyingi za hovyo zilikuwa zinapitia kwake akafura!

Serikali imemnyang'anya mashamba aliyowadhulumu wananchi akafura!

Kuna tetesi Serikali inaendelea kumhoji ni wapi zaidi ya pesa bilioni 3 zilizopitia kwenye ac yake zilitokea na imezuia yeye kuzichukua benki amefura!

Mwingira hana usafi huo wa kufikia kuinyooshea kidole mamlaka eti kwa nyendo zake yule ni mzee wa fursa.
Je serikali inao huo usafi wa kumnyooshea yeye kidole?
 
Huu uzwazwa wako ndo tunataka tuonfikane nao. Eti rais anaweza kufanya chichote na kwa wakati wowote! Kwani rais yuko juu ya Sheria au ni nyie mnaomkuza tu na kwa sababu ya elimu duni. Nenda marekani au Kenya uone rais anavyojambishwa mpaka anaombaga msamaha kwa wananchi.

Urais ni public service Kama wewe na Mimi na ndo Mana alitupigia magoti ili tumpe hiyo service aweze kula au apate kazi vinginevyo angekuwa jobles hivyo lazima awe na customer care kubwa tusimnyanganye kazi hiyo tukampa mwingine. Wewe ukitukanwa na boss wako kazini huwa unafanyaje? Ukimind acha kazi tutafute mwingine.
Keyboard heroes at work. 😁
 
Huwezi kushindana na dola yeyote Duniani na ukabaki salama.

Mwingira kwa mfano naona watu wameanza kumjaza kichwa eti aendelee kuinanga mamlaka kupitia jukwaa lake la dini jambo ambalo hana uwezo kwalo.

Watu kama kina Mwingira huishia kuropoka na mara waonapo mambo yanakuwa magumu kwao huamua kukimbia Nchi.Na ndicho kinaenda kutokea kwa huyo nabii wa kujiita.
Usizuie mvua acha inyeshe tuone panapovuja
 
Yule ni mhuni na tapeli.

Serikali ilifunga benki yake kwa sababu pesa nyingi za hovyo zilikuwa zinapitia kwake akafura!

Serikali imemnyang'anya mashamba aliyowadhulumu wananchi akafura!

Kuna tetesi Serikali inaendelea kumhoji ni wapi zaidi ya pesa bilioni 3 zilizopitia kwenye ac yake zilitokea na imezuia yeye kuzichukua benki amefura!

Mwingira hana usafi huo wa kufikia kuinyooshea kidole mamlaka eti kwa nyendo zake yule ni mzee wa fursa.
basi chedema huko wamefuraaaahii eti anaikosoa serikali mavi yake
 
Yule ni mhuni na tapeli.

Serikali ilifunga benki yake kwa sababu pesa nyingi za hovyo zilikuwa zinapitia kwake akafura!

Serikali imemnyang'anya mashamba aliyowadhulumu wananchi akafura!

Kuna tetesi Serikali inaendelea kumhoji ni wapi zaidi ya pesa bilioni 3 zilizopitia kwenye ac yake zilitokea na imezuia yeye kuzichukua benki amefura!

Mwingira hana usafi huo wa kufikia kuinyooshea kidole mamlaka eti kwa nyendo zake yule ni mzee wa fursa.
Zile za EPA zilizobebwa kwenye mifuko ya sandarusi mmewahi kuzirudishaz?
 
Huwezi kushindana na dola yeyote Duniani na ukabaki salama.

Mwingira kwa mfano naona watu wameanza kumjaza kichwa eti aendelee kuinanga mamlaka kupitia jukwaa lake la dini jambo ambalo hana uwezo kwalo.

Watu kama kina Mwingira huishia kuropoka na mara waonapo mambo yanakuwa magumu kwao huamua kukimbia Nchi.Na ndicho kinaenda kutokea kwa huyo nabii wa kujiita.
Wewe unajua alichopitia?...punguza mdomo...wewe kwa Mwingira mchumba tu...
Wapi kainanga serikali?...mtu ameumizwa unaleta porojo?
Muache aseme mdomo ni wake hii inaweza kumpunguzia maumivu aliyopata.
 
Back
Top Bottom