Hotuba ya Taifa haiwezi kuwa na maneno ya vijiweni, CHADEMA hakina presidential material kabisa

Kajeba

JF-Expert Member
Oct 15, 2020
826
1,965
Wakuu
jana nilifuatilia hotuba zilizokuwa zinaitwa hotuba za Taifa zote mbili, lakini ukweli ni kwamba hotuba ya taifa ilikuwa ni moja tu kutoka kwa rais wa Samia Suluhu

napenda kuwakumbusha wanachadema kuwa bado safari ndefu sana mnayo kufikia level ya kutoa hotuba kwa taifa

hotuba ya taifa haiwezi jazwa maneno ya vijiweni kama
*mchongo
*uchafuzi mkuu
*Mamluki ya ccm

na maneno mengine mengi ya kukera

Je ile hotuba imemlenga mwananchi au viongozi wa ccm na serkali?
 
Vijana sisi ndio wengi kwenye taifa hili, lugha iliyotumika tunaielewa vizuri, hasa unapokuwa unatumia VPN kuisikiliza.
sio kila kijana anelewa lugha za kipumbavu na kihuni
 
Wakuu
jana nilifuatilia hotuba zilizokuwa zinaitwa hotuba za Taifa zote mbili, lakini ukweli ni kwamba hotuba ya taifa ilikuwa ni moja tu kutoka kwa rais wa Samia Suluhu

napenda kuwakumbusha wanachadema kuwa bado safari ndefu sana mnayo kufikia level ya kutoa hotuba kwa taifa

hotuba ya taifa haiwezi jazwa maneno ya vijiweni kama
*mchongo
*uchafuzi mkuu
*Mamluki ya ccm

na maneno mengine mengi ya kukera

Je ile hotuba imemlenga mwananchi au viongozi wa ccm na serkali?
Uko sahihi.
Hotuba moja ni kwa ajili ya nchi anayoiongelea mzee jobo
Hotuba ningine ni kwa wananchi wanaonunua sukari sh 3,000. Sasa wewe unachagua uko wapi kati ya hizo.
 
Back
Top Bottom