Rais Samia, fanya mabadiliko ya wasaidizi wako hasa Kwenye hotuba; unaweza ukawa na wasomi ila siyo wataalam wala wazoefu

sambulugu

JF-Expert Member
Jun 1, 2021
3,911
7,170
Mfano hotuba ingejitika katika masuala yafuatayo!

I) Mambo ya makusanyo ya tozo ili kupunguza sintofahamu kwa wananchi jinsi ya matumizi yake!

ii) Demokrasi na uhuru wa vyombo vya Habari na Vyama vya sasa.

iii) Hatima ya katiba mpya

iv) Ufafanuzi wa deni la Taifa ili kuwafanya wananchi waweze kuelewa kwa undani na kutoa taharuki kwa wananchi!

V) Mwendelezo wa miradi nyeti kama Hospital za kanda, mikoa, wilaya na vituo vya afya na ujenzi wa viwanja vya ndege, barabarani juu na madaraja kama Mto wami nk!

Vi) Jinsi ya kukabiliana na upandaji wa gharama za maisha ikiwemo jinsi ya kukabiliana na changamoto ya upatikanaji wa mvua maana kwa mwaka huu hali ya mvua sio nzuri kwa maeneo mengi ya nchi!

vii) Kutoa mwelekeo wake wa kisera na kimkakati kuweza kukuza uchumi na kuimarisha hali za za wananchi mfano machinga baada ya kutolewa barabarani serkali yake inaendelea na mkakati gani!.

Mwisho nashauri wasaidizi wa Rais Samia wajitahidi kuandaa hotuba ambazo zitaleta ufafanuzi wa kutosha kwa wananchi badala ya kuengelea mambo mepesi yasiyo na tija kwa msitakabari wa Taifa!
 
Mfano hotuba ingejitika katika masuala yafuatayo! I)Mambo ya makusanyo ya tozo ili kupunguza sintofahamu kwa wananchi jinsi ya matumizi yake! ii)Demokrasi na uhuru wa vyombo vya Habari na Vyama vya sasa. iii) Hatima ya katiba mpya iv)Ufafanuzi wa deni la Taifa ili kuwafanya wananchi waweze kuelewa kwa undani na kutoa taharuki kwa wananchi! V)Mwendelezo wa miradi nyeti kama Hospital za kanda ,mikoa,wilaya na vituo vya afya na ujenzi wa viwanja vya ndege,barabarani juu na madaraja kama Mto wali nk! Vi)Jinsi ya kukabiliana na upandaji wa gharama za maisha ikiwemo jinsi ya kukabiliana na changamoto ya upatikanaji wa mvua maana kwa mwaka huu hali ya mvua sio nzuri kwa maeneo mengi ya nchi! vii) Kutoa mwelekeo wake wa kisera na kimkakati kuweza kukuza uchumi na kuimarisha hali za za wananchi mfano machinga baada ya kutolewa barabarani serkali yake inaendelea na mkakati gani!.Mwisho nashauri wasaidizi wa Rais Samia wajitahidi kuandaa hotuba ambazo zitaleta ufafanuzi wa kutosha kwa wananchi badala ya kuengelea mambo mepesi yasiyo na tija kwa msitakabari wa Taifa! Jina Samuel Seleman Bulugu!

Unatundisha kazi ???
 
Kwahiyo ulitaka hotuba waweke unachowaza wewe
 
Hotuba ni kitu personal. Kile unachotaka wewe ni cha kwako wewe na siyo Samia. Hata mimi ningetaka hotuba ya mwaka mpya ningeandika ya kwangu tofauti na hiyo ya kwako. All in all amefikisha ujumbe aliotaka uwafikie watanzania.

Still angeamua pia kutoongea. Acheni critique za kijinga
 
Mfano hotuba ingejitika katika masuala yafuatayo! I)Mambo ya makusanyo ya tozo ili kupunguza sintofahamu kwa wananchi jinsi ya matumizi yake! ii)Demokrasi na uhuru wa vyombo vya Habari na Vyama vya sasa. iii) Hatima ya katiba mpya iv)Ufafanuzi wa deni la Taifa ili kuwafanya wananchi waweze kuelewa kwa undani na kutoa taharuki kwa wananchi! V)Mwendelezo wa miradi nyeti kama Hospital za kanda ,mikoa,wilaya na vituo vya afya na ujenzi wa viwanja vya ndege,barabarani juu na madaraja kama Mto wali nk! Vi)Jinsi ya kukabiliana na upandaji wa gharama za maisha ikiwemo jinsi ya kukabiliana na changamoto ya upatikanaji wa mvua maana kwa mwaka huu hali ya mvua sio nzuri kwa maeneo mengi ya nchi! vii) Kutoa mwelekeo wake wa kisera na kimkakati kuweza kukuza uchumi na kuimarisha hali za za wananchi mfano machinga baada ya kutolewa barabarani serkali yake inaendelea na mkakati gani!.Mwisho nashauri wasaidizi wa Rais Samia wajitahidi kuandaa hotuba ambazo zitaleta ufafanuzi wa kutosha kwa wananchi badala ya kuengelea mambo mepesi yasiyo na tija kwa msitakabari wa Taifa! Jina Samuel Seleman Bulugu!
alivyompa kurugenzi yule jamaa wa chanel ten wenyewe tukajua ndiyo basi tena
 
Back
Top Bottom