Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Chadema Singida Makamu Mwenyekiti kanda ya Kati Bi. Aisha Yusufu Luja anaripoti kuwa viongozi wawili wa CHADEMA wamekamatwa wakiwa wamevaa T-shirts za Tundu Lissu zilizoandikwa PRAY FOR LISSU mchana huu.
Makamu Mwenyekiti kanda ya kati ameambatana na viongozi wengine wa chama kufuatilia suala hilo kwa OCD mkoani humo.