Waziri wa Nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo ametangaza kuwaruhusu wagombea wote waliochukuwa fomu na kuzirejesha kwa ajili ya kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa Serikali...
Hivi kwa malalamiko haya yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii kuhusu Tanzania tunadhani ipo siku Mama Samia ataweza kuwaletea Wananchi maendeleo? Watu wanakamatwa na kuwekwa maabusu bila hatia...
Kazi ya Rais ni kutengeneza dira na sera za kitaifa kuhakikisha nchi inaenda katika muelekeo sahihi kiuchumi, kijamii na siasa.
Kwa mantiki hiyo Rais muda mwingi anatakiwa awe Ofisini kwake...
Nawasalimu waungwana wa JF,
Tangu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Job Yustino Ndugai kumtaka Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof. Mussa Assad...
Siku za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Prof. Mussa Assad kujitokeza na kuhojiwa mbele ya Kamati ya Haki, Maadili na Kinga ya Bunge la Jamhri ya Muungano wa Tanzania...
Wakuu,
Ni muhimu kuelewa kuwa Bunge la JMT haliwezi kumuonea mtu yeyote.
Mh. Prof Assad alipoitwa kujieleza kwenye kamati, na baada ya ripoti ya hiyo kamati Bungeni, Prof. Assad anaonekana...
Mzee wangu wasalaam!
Kwanza hongera kwa kazi nzuri na ya kutukuka tena iliyojaa Uzalendo kwa Taifa lako hili masikini kabisa kusini mwa Jangwa la Sahara, Taifa ambalo uchumi wake unadondoka kama...
Huu ni utetezi Wa kanali Wa jeshi aliyeteuliwa kushika wadhifa mkubwa ndani ya chama cha mapinduzi, wadhifa unaosemekana unaoweza kushikwa na MTU ambaye amekuwa mwanachama Wa muda mrefu.
kanali...
Halafu hii wala sio kwa vyama vya upinzani kama mnavyoweza kufikiri kwamba wao ndio wanampinga Rais Samia, hao watu wako CCM zaidi.
Ni hivi, leo Rais Samia kugusia wale vifaranga wa kutoka Kenya...
Vijana CCM kama chama cha siasa kina katiba na itikadi zake.
Ili uwe mwanachama inabidi uelewe CCM inasimamia nini (miaka hiyo sio sasa).
Kwa sasa hakuna mbadala wa CCM kisera, lakini bado ndio...
Oktoba 19 imetimia miezi saba tangu Rais Samia Suluhu Hassan aingie madarakani kuliongoza Taifa hili. Kuna mengi ameyafanya vizuri sana, na mengine hakufanya kwa usahihi, lakini kutokana na kwamba...
Kila Mtanzania: Kila mkulima, kila mfugaji, kila mfanya biashara, kila mfanya kazi, kila machinga, kila kiongozi wa dini, kila kiongozi wa siasa, kesho ratehe 1/1/2022, aanze kuandika ukurasa wa...
Waswahili waliwahi kunena kuwa....kufa ili usemwe, haijalishi ni kwa ubaya au uzuri, ilimradi usemwe tu kwa sababu huwezi kujibu chochote.
Hivi ni kweli JPM kwa kipindi chake cha miaka 5 alikopa...
Katika hotuba ya Mh. Lisu kufunga mwaka, iliyosheni mambo mazito yanayowagusa watanzania wa nyanja zote, amezungumzia vyama mamluki ambao wanashirikiana na CCM kufanya uhuni ndani ya taifa letu...
Sasa ni wazi kabisa kwamba Ndugai ni mzigo kisiasa kwa CCM, amekuwa akiichafua CCM na viongozi wake Kila mara.
Ametumia vijana wake akina Humphrey lakini wakachemka, wengine akina Mangula na...
Najua wengi hawampendi Ndugai, ni kutokana na uvunjifu mkubwa wa katiba na utawala wa sheria alioufanya tokea awamu ya 5, mi binafsi pia simkubali
Sasa kilichonishtua ni hii reaction ya CCM...
Wanaweza kuzima mtandao wa internet kwa muda tu, lakini hawawezi kuzuia jua la teknolojia kuchomoza. Waraka wa Tundu Lissu kwa Watanzania huu hapa: HOTUBA YA MAKAMU MWENYEKITI CHADEMA MHE. TUNDU...
Rais Samia Suluhu anahutubia Taifa kuuga mwaka 2021 na ameanza na mfumuko wa bei.
Rais Samia ametaja changamoto ya mfumuko wa bei ulioshuhudiwa 2021 kuwa ni zao la ongezeko la bei za mafuta kwenye...
Madini yalikuwa yanatoroshwa hovyo, nchi ya Kenya ndio ilikuwa kitovu cha uuzwaji wa dhahabu na madini mengi toka Tanzania.
Pesa za umma zilikuwa zinaliwa hovyo na kuingia kwenye mifuko ya...
Wakuu kheri ya mwaka mpya!
Katika mambo nnayohitaji au kutamani kuona ni utawala wa sheria ( rule of law) pamoja na mgawanyo wa kimajukumu katika mihimili mitatu ya dola (the three pillars of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.