Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tarehe 31 Disemba,2021 saa kumi na mbili jioni Mheshimiwa Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti wa Chama Taifa kulihutubia Taifa- kufunga mwaka 2021 kuzungumzia mipango na mikakati ya kuingia mwaka 2022.
31 Reactions
188 Replies
14K Views
MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA TUNDU LISSU, AFICHUA UOZO WA KATIBA INAYOPENDEKEZWA NA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA, TUNAPIGWA TENA Kufuatia taarifa ya Prof. Rwekaza S. Mukandala kubainisha kuna...
5 Reactions
192 Replies
58K Views
Heri ya Mwaka mpya 2022 wanaJf wote. Askofu Gwajima amefanya maombi kwa kila mtanzania ili apokee talanta yake kutoka kwa Mungu moja kwa moja na siyo hivi vitu tunavyopewa na binadamu wenzetu...
19 Reactions
35 Replies
2K Views
Wanabodi, Niliposema Rais wa JMT anaweza Kuondolewa madarakani na Bunge, wengi walibeza kuwa nilikuwa nazungumzia hypothetical situation, yaani kitu ambacho hakipo, nikauliza hakipo vipi wakati...
21 Reactions
144 Replies
19K Views
Baada ya jana kuahirishwa, Kesi ya mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe inaendelea kuunguruma leo mahakamani. Jana kesi iliahirishwa kutokana shahidi kupata dharura ya kiafya na upande wa utetezi...
39 Reactions
273 Replies
45K Views
(i) Kuongezeka kwa tofauti (Gap) za Kiuchumi na Kijamii miongoni mwa Wananchi: Sehemu nyingi Wananchi wote wana haki ya kushiriki Uchaguzi lakini Matajiri ndio wana nafasi ya kushinda. Watu...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Katika hali ya kustaajabisha, DC wa Arusha Kenani Kihongosi ambae aliwahi kutoa 'Singo' niliyoambatanisha hapo chini ya kumsifia Magufuli kwa kudai kuwa Magufuli alikuwa ni jembe la kila kitu...
18 Reactions
82 Replies
7K Views
Waheshimiwa wabunge mmekuwa mkiburuzwa na kiti cha Spika bila kujua yeye hana chakupoteza 2025. Kwani ni automatic ni mstaafu. Hivyo anajikomba kwa Rais kuwa mstaafu mtarajiwa mwema huku...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Kwa sisi Mawakili wasomi kuhoji ni jadi yetu. Nimesikia Mhe. Waziri Mkuu akizungumzia kuhusu madaraka yanatoka Kwa Mungu. Nikajiuliza tunao wabunge wa bunge la Sasa ambapo wapo waliopita bila...
7 Reactions
26 Replies
2K Views
Kila mwanasiasa kiu yake ni kushika madaraka makubwa, na hii wala sio dhambi ni haki yake kabisa. Hivyo kwa wale wote wanaosema sijui fulani anataka uraisi Mara fulani sijui ana kundi au mtandao...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wasalaam, Nianze kwa kusema kale kamsemo tulikokazoea ,"msema kweli ni mpenzi wa MUNGU".Hivyo ninaongea ukweli mtupu hapa maana nimeshamtaja MUNGU asije kuniadbibu. Miongoni mwa walioumizwa ni...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
MHE SANGA ANAJARIBU KUWAFUNDISHA WABUNGE WA MUDA MFUPI. Na Elius Ndabila Ninawasalimia kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni muda muda kidogo sijaandika kama nilivyokuwa nafanya...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Je, ni Jumbe Katala? Je, ni Zaipuna Yonah? Je, ni Timothy Lyanga? Je, ni Richard Mkumbo wa Ujenzi? Je, ni Innocent Msengi? Diwani wa kata ya Mwigulu Kyengege? Tujadili kwa faida ya Iramba yetu...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Kuna taarifa kwamba aliyekuwa askofu mkuu wa TAG askofu Prof Rainwell Mwenesongole ambaye pia ni mchungaji kiongozi wa Upanga CCC amefariki dunia. Taarifa zimetolewa na Sam Sasali wa Clouds tv...
10 Reactions
219 Replies
20K Views
"Yale mliyoyasema katekelezeni kama mlivyosema" kauli hii mimi naitafsiri uvivu wa kudadavua mambo, uwezo mdogo wa kudadavua mambo muhimu, kutojali na ukosefu wa umakini. Kwamba yeye hawezi...
0 Reactions
0 Replies
396 Views
From nowhere muanze kuwaingizia sumu watanzania kuwa hayati JPM hafai kisa tu aliziba na kuwabana msifanye ufisadi.Mbona wote mmekata kilimilimi chenu? Hii nchi ina raia wanaojitambua na...
7 Reactions
38 Replies
2K Views
NDUGAI AOMBE RADHI Shirika la Ulingo Tanzania linaloundwa na Jumuiya za Wanawake wa vyama siasa hapa nchini (TWCP) kupitia Mratibu wake Dkt. Ave Maria Semakafu limemtaka Spika wa Bunge na Mbunge...
8 Reactions
71 Replies
6K Views
Utangulizi na Utaratibu Kanuni ya 134, Fasili ya 1, 2, 3, 4, 5 na 6 za Kanuni za Kudumu za Bunge, Toleo la 2007 zinaelezea namna ya kumwondoa madarakani Spika wa Bunge. Kanuni hii ni utekelezaji...
6 Reactions
48 Replies
8K Views
Awamu iliyopita Rais, Makamu, Waziri Mkuu na viongoozi wote wa Serikali walitueleza wazi kwamba wanajenga Kwa fedha za ndani. Chama cha Mapinduzi na taasisi zake zote walizunguka kutuambia...
10 Reactions
70 Replies
6K Views
Back
Top Bottom