Kumbe Ndugai ndio kiongozi wa hili kundi mtandaoni

Ngungenge

JF-Expert Member
Jun 11, 2016
2,863
3,190
Zilianza threat za wana CCM tunawajua kuwa watakuwepo Jamii forum kwa miaka 10 ambao ghafla wakanda kumpiga Rais Samia

Akaja Polepole na Shule ya Uongozi

Wanaharakati wao wa Facebook, Instagram na twitter wakitumia kauli za "hawezi Lucas viatu, hatoshi nk"

Sasa Ndugai katoa siri yao na kufafanua kinyongo chao. Alianza mwanamke kamwe hawezi kuwa kama mwanaume, sasankavuka mpaka Rais anakopakopa aisee this is too much

Tunajua kundi lenu
Bashiru
Kabudi
Dotto
Naibu Spika
Gwajima
Baadhi ya wabunge
Na Baadhi ya ma DC
Kiongozi mmoja mkubwa ndani ya chama (Huyu simtaji kwa sababu)
Viongozi UVCCM ya mikoa na wilaya awamu ya 5
Wamekuwa wakiongoza kampeni dhidi ya Rais Samia

Jambo zuri ni kuwa hamta fanikiwa kamwe
Tukutane 2022 ndani ya Chama afu tukutane 2025 uchaguzi Mkuu

Rais Samia
#KAZI IENDELEE
 
Job Ndugai,
Kassim Majaliwa
Tulia Ackson,
Silinde, Joseph Kasheku Msukuma,
Humphrey Polepole,
Lusinde,
David Kafulila,
Mwigulu Nchemba,
Patrobas Katambi.
Jenista Muhagama
Gwajiboy... (Josephat Gwajima)
NK........

Listi ya Sukuma Ghang ni ndefu

Sukuma Ghang wana nguvu ya pesa !. Watumishi Gwengi sana ni Sukuma Ghang. Karibia 90% ya wabunge ni Sukuma Ghang maana Chuma aliwapa ubunge Bureeeeeeee !
 
Screenshot_20211230-104602.jpg
 
Hizi ni ramli chonganishi. Una hallucinate kwa ajili ya nini? Kama unadamu ya mtu mikononi mwako tubu na umpokee Yesu Kristo kabla hujahamia majalalani.
 
Job Ndugai,
Kassim Majaliwa
Tulia Ackson,
Silinde, Joseph Kasheku Msukuma,
Humphrey Polepole,
Lusinde,
David Kafulila,
Mwigulu Nchemba,
Patrobas Katambi.
Jenista Muhagama
Gwajiboy... (Josephat Gwajima)
NK........

Listi ya Sukuma Ghang ni ndefu

Sukuma Ghang wana nguvu ya pesa !. Watumishi Gwengi sana ni Sukuma Ghang. Karibia 90% ya wabunge ni Sukuma Ghang maana Chuma aliwapa ubunge Bureeeeeeee !
Sukuma Ghang wana nguvu ya pesa !. Watumishi Gwengi sana ni Sukuma Ghang. Karibia 90% ya wabunge ni Sukuma Ghang maana Chuma aliwapa ubunge Bureeeeeeee
 
Job Ndugai,
Kassim Majaliwa
Tulia Ackson,
Silinde, Joseph Kasheku Msukuma,
Humphrey Polepole,
Lusinde,
David Kafulila,
Mwigulu Nchemba,
Patrobas Katambi.
Jenista Muhagama
Gwajiboy... (Josephat Gwajima)
NK........

Listi ya Sukuma Ghang ni ndefu

Sukuma Ghang wana nguvu ya pesa !. Watumishi Gwengi sana ni Sukuma Ghang. Karibia 90% ya wabunge ni Sukuma Ghang maana Chuma aliwapa ubunge Bureeeeeeee !

Ingawaje kwenye orodha yako umewaacha wengi, ukweli ni kwamba serikalini na huko kwenye chama Samia ana wapinzani wengi sana. Hao walioorodheshwa hapo ni TIP OF THE ICEBERG ;ndio maana ni muhimu wasaidizi wake wa karibu kuwa makini sana na hatua Rais anazochukua. Timing ya wakati gani anachukua hatua ni muhimu sana kipindi hiki.
 
Duuh Kumbe?
 
Ongezeka na waunga juhudi, waganga 900 wa Simiyu covid 19 hawa wapo katikati wanaelea.
Hawa chawa wote hata kama Wana nguvu ya pesa hawana mizizi kwenye chama wote waliletwa na magufuli Ili wamsaidie kubadili katiba,wanajua awatorudi tena bungeni sababu ni asante magufuli na sio chaguo la watz,awatembezewi bahasha kama zama zile.
 
Ingawaje kwenye orodha yako umewaacha wengi, ukweli ni kwamba serikalini na huko kwenye chama Samia ana wapinzani wengi sana. Hao walioorodheshwa hapo ni TIP OF THE ICEBERG ;ndio maana ni muhimu wasaidizi wake wa karibu kuwa makini sana na hatua Rais anazochukua. Timing ya wakati gani anachukua hatua ni muhimu sana kipindi hiki.
Hamna kitu wala hamna wa kumfanya kitu,ukishakuwa Mwenyekiti upo juu ya wote,unaprint form moja tu ya uraisi wengine wakatoe kopi.
Msajili anapokea original
 
Back
Top Bottom