Waziri Lukuvi: Dar es salaam kujengwa miji ya kisasa 25 badala ya watu kurundikana Upanga na Kariakoo. Jiji litaendelezwa kwa kwenda juu ( maghorofa)

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,897
141,831
Waziri wa ardhi mh Lukuvi amemkabidhi mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla mpango mpya wa ujenzi wa jiji hilo.

Lukuvi amesema ndani ya Dar es salaam itajengwa miji midogo ya kisasa 25 na kwa maana hiyo hakutakuwa na sababu watu kurundikana Upanga na Kariakoo.

Kadhalika Lukuvi amesema Jiji la Dar es salaam sasa litaendelezwa kwa kwenda juu yaani ujenzi wa maghorofa baada ya maeneo kuwa yameshajaa.

Source: ITV habari
 
Duh

Sawa,tunasubiria

Ujenzi wanaanza lini

Ova
 
Mi nil hater wa magu lakn ishu ya kukuza mikoani kuwa majiji kwa mfano alivyofanya kwa dodoma naona inatija zaidi kwa nchi kuliko ambavyo maendeleo yanazidi kupelekwa kwenye jiji lenye maendeleo tyr..
 
Kwa hiyo hao wa vikindu, Chanika, kiluvya na kelege watabomoa nyumba zao na kuja kwenye maghorofa au itakuwaje?
Maana square meter area ambalo Dar es Salaam inacover ukijenga maghorofa kote basi yanaweza kuchukua Watz wote millioni 60.

Tatizo kubwa ni umasikini na imani ya siku nyingi ya uncertainty ya siku za mbeleni. Walijaribu THB enzi zile na mortgage ilikuwa ni kiwanja ulichopewa na hiyo ilisaidia kupanga miji, sasa hivi kama kuna mtu anaweza kukueleza 'mkopo janja' wa Exim China uliotolewa kuendeleza makazi awamu ya tano umeishia wapi ndio utajua kuwa maneno hata kwenye kanga yapo
 
images-1.jpeg
 
Kwa uchumi upi wanyonge wa bongolala watajenga magorofa kila pahala, naona kuna watu wanazeeka vibaya...
 
Kwa hiyo hao wa vikindu, Chanika, kiluvya na kelege watabomoa nyumba zao na kuja kwenye maghorofa au itakuwaje?
Maana square meter area ambalo Dar es Salaam inacover ukijenga maghorofa kote basi yanaweza kuchukua Watz wote millioni 60.

Tatizo kubwa ni umasikini na imani ya siku nyingi ya uncertainty ya siku za mbeleni. Walijaribu THB enzi zile na mortgage ilikuwa ni kiwanja ulichopewa na hiyo ilisaidia kupanga miji, sasa hivi kama kuna mtu anaweza kukueleza 'mkopo janja' wa Exim China uliotolewa kuendeleza makazi awamu ya tano umeishia wapi ndio utajua kuwa maneno hata kwenye kanga yapo

mkopo janja' wa Exim China uliotolewa kuendeleza makazi awamu ya tano umeishia wapi ndio utajua kuwa maneno hata kwenye kanga yapo
 
Tatizo huyu huwa aaminiki na kauli zake. Madalali marufuku mara madalali ni watu halali within one month.
Labda aliambiwa yeye ni nonsense. Si unajua madalali ni ajira zimeshatengenezwa na tunaziinclude kwenye party and gvt manifesto??
 
Waziri wa ardhi mh Lukuvi amemkabidhi mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla mpango mpya wa ujenzi wa jiji hilo.

Lukuvi amesema ndani ya Dar es salaam itajengwa miji midogo ya kisasa 25 na kwa maana hiyo hakutakuwa na sababu watu kurundikana Upanga na Kariakoo.

Kadhalika Lukuvi amesema Jiji la Dar es salaam sasa litaendelezwa kwa kwenda juu yaani ujenzi wa maghorofa baada ya maeneo kuwa yameshajaa.

Source: ITV habari
Are we serious? Moto Kariakoo sokoni umetutoa kamasi, itakuwaje moto ghorofa ya 20? Kingine ni mji unaotegemea septic tanks utamudu vipi maji taka katika jiji la ghorofa?

Amandla....
 
Sikutegemea kauli kama hii itolewe na waziri mwandamizi na kada mkongwe wa CCM mheshimiwa Lukuvi.

NI kauli ya kimzaha sana.
 
Waziri wa ardhi mh Lukuvi amemkabidhi mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla mpango mpya wa ujenzi wa jiji hilo.

Lukuvi amesema ndani ya Dar es salaam itajengwa miji midogo ya kisasa 25 na kwa maana hiyo hakutakuwa na sababu watu kurundikana Upanga na Kariakoo.

Kadhalika Lukuvi amesema Jiji la Dar es salaam sasa litaendelezwa kwa kwenda juu yaani ujenzi wa maghorofa baada ya maeneo kuwa yameshajaa.

Source: ITV habari
Kwa vichekesho kama hivi piga

*Lukuvi*Hangaya*Ujinga#

😅😅😅
 
Back
Top Bottom