nashicha
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 279
- 524
Hakuna kitu kibaya kama kumtegemea mwanadamu hawa ndugu hawaamini kama Hayati Magufuli ameondoka milele na mipango yao imeshindwa.
Nawaomba wabunge kwa kuwa Ndugai hataki kuonesha heshima kwa Rais na anamletea dharau kwasababu ni mama WABUNGE KATAENI HASA WABUNGE WANAWAKE PELEKENI HOJA YA KUMWONDOA KAMA SPIKA.
Ana agenda ya Siri ndio waliopo nyuma Polepole na Bashiru Makonda nk
Tumieni sheria kumwondoa Mbona Magufuli alikopa na akawa anatudanganya pesa zipo hakumsema au kisa huyu ni mwanamke anamletea dharau mwondoeni
Ametumia bilion 2.7kwa matibabu yake lakini mbunge kama mh Lissu akamkatalia kumlipia matibabu kwa kuwa Mungu halali alichokifanya kwa wenzake kitarudi vilevile.