Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Watendaji wengi ambao hayati Magufuli alikuwa akiamka ama usiku wa manane akiwafurumusha hatimaye wengi wanarejeshwa kwa kasi tena wakipanda vyeo maradufu. Kwa uchache 1. Lawrence Mafuru...
7 Reactions
44 Replies
4K Views
MHE UMMY MWALIMU AKAGUA UJENZI WA SHULE MPYA YA SEKONDARI ILIYOPO SARUJI, KATA YA MAWENI Awapongeza Mkuu wa Wilaya na Viongozi wa Halmashauri ya Jiji la Tanga kwa kazi nzuri Viongozi waomba iwe...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani kuna hii wizara mpya aliyopewa Dorothy Gwajima, inaitwa wizara ya wanawake, jinsia na MAKUNDI MAALU MU. Je, hayo makundi maalumu yanayowekwa pamoja na wanawake na jinsia ni yapi hayo...
5 Reactions
40 Replies
5K Views
Kitakacho wafanya CDM waweze kukubalika kwa wananchi ni kufuata sera za JPM. Kwenye hotuba zenu ni nzuri sana ila mnakosea sehemu moja na hapo ndio mnapata negative feedback kutoka kwa kundi...
13 Reactions
65 Replies
4K Views
PROF. MKUMBO, MWAMBE, POKEENI LAWAMA HIZI KISHA MJIPIME Na Bollen Ngetti SIJUI kama kuna ukweli katika usemi huu. Kwamba "kenge hasikii hadi umtoe damu au aone kwa macho". Eti hata kama anaona...
5 Reactions
17 Replies
3K Views
Awaye yote atake au asitake Mola anayo namna yake ya kusema na waja wake: Ikumbukwe kuwa imeandikwa, (Mathayo 7:15-16) "manabii wa uongo mtawajua kwa matunda yao." Izingatiwe kuwa utabiri wa...
16 Reactions
73 Replies
7K Views
Chama kina wenyewe. Na wenyewe wana makazi chini ya mlima mrefu
5 Reactions
26 Replies
3K Views
Naanza kujiuliza ilikuwaje Hotuba za Nyerere na Magufuli zinasikiluzwa sana? Sijawahi ona mtu anachukua hotuba ya Mwinyi nakuisemea jambo? Hotuba za Mkapa nazo sioni wakiangaikanazo pia za JK...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Katika Kipindi cha mahojiano cha clouds fm, nimesikiliza kwa makini jinsi Mr Mafuru akijieleza nimemukubali kama mwanauchumi mzuri na kiongozi asiyekuwa na kinyongo. Ni wakati wa mwafaka kwa...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa sisi tuliokuwa karibu na mzee kwenye siku zake za mwisho ,kati ya watu alioongea nao kwa muda mrefu ukiwatoa viongozi wa dini na familia yake ni CDF Mabeyo, nadhani alikuwa mtu wa karibu sana...
15 Reactions
64 Replies
9K Views
Mafuru ni yule aliyetumbuliwa na JPM akiwa mweka hazina wa taifa kwa sababu ya kusema ukweli clouds 360 juu ya noti kupotea! -Alisema noti imepotea kwa maamuzi ya serikali kubana matumizi...
13 Reactions
30 Replies
4K Views
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Umma na Utawala Bora, Mohamed Mchengerwa amewaagiza waajiri wote nchini kuchukua hatua kuwaondoa katika nafasi zao baadhi ya maofisa utumishi...
5 Reactions
30 Replies
3K Views
Ijumaa khareem, Kwaunyenyekevu mkubwa naomba kuwarejesha awamu ya nne Pale tulipoambiwa kuwa Mtoto wa Rais wa Tanzania wakati huo Mhe Jakaya Mrisho Kikwete, Ridhiwani Kikwete amekamatwa huko...
16 Reactions
143 Replies
14K Views
Hili ni bandiko la kumkumbusha tu Nape Nnauye kuwa si kweli kwamba CCM ina wenyewe kama alivyosema kwenye bandiko lake la jana huko twita akimjibu kiroboto. Bwana Nape akiwa kiongozi wa juu...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Huu ni wito kwa "mwanaharakati" na "mtetezi wa haki za binadamu" kupaza sauti na kumuomba radhi Prof. Abdirazak Gurnar na wengine ambao waligeuka wakimbizi kutokana na siasa za Mzee...
9 Reactions
96 Replies
7K Views
Aliposema anaenda kugombea jimbo la Tarime vijijini wanachama na wafuasi wa Chadema walimbeza, wengi walisema ni mlevi na anakwenda kupoteza ubunge. Lakini hii yote ilikuwa ni sababu Mwita...
7 Reactions
129 Replies
11K Views
TUMEPOTEZA JABARI NA MWAMBA WA UCHUMI KATIKA SIASA ZA AFRIKA NA ELIUS NDABILA 0768239284 Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli amemaliza kazi yake aliyoandaliwa kufanya hapa duniani. Kifo si...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu habari Nipo hapa natafakari huu muungano wetu ambao binafsi nauona umekosa usawa kabisa Kuna hili suala la urais na umiliki wa mali katika Muungano huu. N rahis kwa mzanzibar kumiliki...
15 Reactions
77 Replies
6K Views
Ripoti ya kamati ya Kilichotokea Cloudes kutolewa leo saa nane Mchana
4 Reactions
92 Replies
12K Views
Kwenye tukio la leo amenza mkuu wa mkoa kumshambulia Lissu kuhusu alilosema la Rais kukaa miezi 9 na kukopa trillion 10. Akaenda mbali na kusema kwanza hana mbunge hata mmoja Bungeni. Lakini kwa...
28 Reactions
56 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…