Waziri Mwigulu na Mkuu wa mkoa Amos Makalla msimshambulie Lissu, shambulieni hoja zake

Memento

JF-Expert Member
Jun 13, 2021
4,423
9,962
Kwenye tukio la leo amenza mkuu wa mkoa kumshambulia Lissu kuhusu alilosema la Rais kukaa miezi 9 na kukopa trillion 10.

Akaenda mbali na kusema kwanza hana mbunge hata mmoja Bungeni.

Lakini kwa uchaguzi ule ulivyokua mlitegemea Lissu mbunge amtoe wapi?

Wekeni mizani sawa alafu nendeni kwenye uchaguzi ndio muanze kumshambulia Lissu.

Mwigulu nae hakupaswa kuungana na mkuu wa mkoa kumshambulia Lissu, Bali hoja zake lakini nilichoona mmejibu juu juu tu.

Mwigulu anasema Kuna mikopo mmesaini ya world bank, Ila hujasema ni kiasi gani.

Lissu alikua na hoja na ni haki yake kuhoji.

Kama sasa mmeanza kushindwa kujibu hoja zake akiwa huko, akirudi?
 
Huyo mnayemtetea hayuko nchini yapata miaka minne sasa na nchi inasonga kama kawa!

Tanzania haina mungu mtu, na mmwambie, nchi Haihitaji ushauri wake, na sio wa mhimu kuliko 60m ya watanzania!

Msujinga ujinga tuu, yeye ni mmoja tuu, hatuwezi kumfanya wa kumtegemea kiasi cha akili zenu zisifanye kazi!

Upuuzi mtupu
 
Kwenye tukio la leo amenza mkuu wa mkoa kumshambulia Lissu kuhusu alilosema la raisi kukaa miezi 9 na kukopa trillion 10.
Akaenda mbali na kusema kwanza hana mbunge hata mmoja bungeni.

Kiongozi dhaifu hushambulia watu na sio hoja , sasa unaweza ukaona mwenyewe... na hawa wengi wao wamepata umaarufu kwa kuwananga wapinzani so hakuna jipya
 
Huyo mnayemtetea hayuko nchini yapata miaka minne sasa na nchi inasonga kama kawa!

Tanzania haina mungu mtu, na mmwambie, nchi Haihitaji ushauri wake, na sio wa mhimu kuliko 60m ya watanzania!

Msujinga ujinga tuu, yeye ni mmoja tuu, hatuwezi kumfanya wa kumtegemea kiasi cha akili zenu zisifanye kazi!

Upuuzi mtupu
Miaka minne? Kwenye uchaguzi mkuu kilikua kivuli chake?
 
Kila mtanzania hata kama ni diaspora ana haki ya kuchangia , kuhoji na kukosoa pale inapohitajika bila kuvunja sheria ya nchi, hii tabia ya kubagua watu kuongea sio sawa na haikubaliki , NAONA KATIBA IMEKARIBIA KUONDOA HAYO NA MENGINE.
NAHAKIKA KWA YALIYOJIRI MPAKA SASA MOTO WA KATIBA UTAKOLEA KILA KUKICHA.
 
Kwenye tukio la leo amenza mkuu wa mkoa kumshambulia Lissu kuhusu alilosema la raisi kukaa miezi 9 na kukopa trillion 10.
Akaenda mbali na kusema kwanza hana mbunge hata mmoja bungeni.
Lakini kwa uchaguzi ule ulivyokua mlitegemea Lissu mbunge amtoe wapi?
Wekeni mizani sawa alafu nendeni kwenye uchaguzi ndio muanze kumshambulia Lissu.
Mwigulu nae hakupaswa kuungana na mkuu wa mkoa kumshambulia Lissu, Bali hoja zake lakini nilichoona mmejibu juu juu tu.
Mwigulu anasema Kuna mikopo mmesaini ya world bank, Ila hujasema ni kiasi gani.
Lissu alikua na hoja na ni haki yake kuhoji.
Kama sasa mmeanza kushindwa kujibu hoja zake akiwa huko, akirudi?
Kwahiyo Chadema kumbe haina wabunge bungeni? Ndugai umemsikia Makalla?

Covid19 ni CCM kumbe?
 
Back
Top Bottom