Hotuba za Mwal Nyerere na Magufuli zitabaki kama reference kucharange viongozi 2025

Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
7,219
12,933
Naanza kujiuliza ilikuwaje Hotuba za Nyerere na Magufuli zinasikiluzwa sana? Sijawahi ona mtu anachukua hotuba ya Mwinyi nakuisemea jambo? Hotuba za Mkapa nazo sioni wakiangaikanazo pia za JK!

Kwanini Mwalimu Nyerere hotuba zake zi hai mpaka leo?

Vision ya Mwalimu Nyerere kwa Tanzania ikishabiihana sana na Vision ya Magufuli, Usishangae kwanini azimio la Arusha liliondoolewa kwa ujanja wa Azimio la Zanzibar.

Naiona 2025 lakini si sana ila 2030 nahisi kabisa wanachi watakuwa wanajifariji na hotuba za Mwal Nyerere na Magufuli. Mwal Nyerere aliwahi kuwaambia CCM 1995 wateua mgombea ambae wote watakuwa na uwezo wa kumtetea, na ata kama ukiulizwa je huyu atafaaa kupiga vita rushwa? Jibu lako liwe ndiyo na si ndiyo ya mdomoni tu lakini mpaka kwenye nafsi yalo iwe hivo.

Kazi kwenu CCM.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasemao kweli ni wapenzi wa MUNGU.
 
..Magufuli alikuwa mropokaji tu.

..alikuwa anaaibisha kwa kutoa maneno ya kweli, matusi, na udhalilishaji.

..pia alikuwa analigawa taifa kwa kuhutubia kwa kilugha.
Magufuli sehemu ya kusalimia ndo akisalimi kwa kilugha ila sio kwa kabira moja akichanganya zaidi ya salamu 10 za makabila tofauti tofauti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..alikuwa anajisahau sana akiwa kanda ya ziwa.

..huenda alikuwa hajali.
Ulitaka aongee lugha gani?

Mijitu bwana huwa hamkosi maneno! Oohh analigawa taifa!!!

Mtu anaongea na watu wa jamii yake kwa lugha yao, wewe mpuuzi mmoja wa kishimundu unawashwa??

Kuongea lugha ya watu wa jamii yako inawafanya wajisikie kuwa uko pamoja nao, na sio ukabila kama unavyotaka kuaminisha watu hapa!

Machaga bwana!!
 
Naanza kujiuliza ilikuwaje Hotuba za Nyerere na Magufuli zinasikiluzwa sana? Sijawahi ona mtu anachukua hotuba ya Mwinyi nakuisemea jambo? Hotuba za Mkapa nazo sioni wakiangaikanazo pia za JK!

Kwanini Mwalimu Nyerere hotuba zake zi hai mpaka leo?

Vision ya Mwalimu Nyerere kwa Tanzania ikishabiihana sana na Vision ya Magufuli, Usishangae kwanini azimio la Arusha liliondoolewa kwa ujanja wa Azimio la Zanzibar.

Naiona 2025 lakini si sana ila 2030 nahisi kabisa wanachi watakuwa wanajifariji na hotuba za Mwal Nyerere na Magufuli. Mwal Nyerere aliwahi kuwaambia CCM 1995 wateua mgombea ambae wote watakuwa na uwezo wa kumtetea, na ata kama ukiulizwa je huyu atafaaa kupiga vita rushwa? Jibu lako liwe ndiyo na si ndiyo ya mdomoni tu lakini mpaka kwenye nafsi yalo iwe hivo.

Kazi kwenu CCM.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna tofauti kubwa baina ya WAZALENDO NA WAHUNI, hiyo ndiyo sababu siku zote hotuba za wazalendo ndiyo zinadumu na kuheshimiwa ,hivi mtu kama sa100 unaweza kutumia vipi hotuba yake hata moja
 
Naanza kujiuliza ilikuwaje Hotuba za Nyerere na Magufuli zinasikiluzwa sana? Sijawahi ona mtu anachukua hotuba ya Mwinyi nakuisemea jambo? Hotuba za Mkapa nazo sioni wakiangaikanazo pia za JK!

Kwanini Mwalimu Nyerere hotuba zake zi hai mpaka leo?

Vision ya Mwalimu Nyerere kwa Tanzania ikishabiihana sana na Vision ya Magufuli, Usishangae kwanini azimio la Arusha liliondoolewa kwa ujanja wa Azimio la Zanzibar.

Naiona 2025 lakini si sana ila 2030 nahisi kabisa wanachi watakuwa wanajifariji na hotuba za Mwal Nyerere na Magufuli. Mwal Nyerere aliwahi kuwaambia CCM 1995 wateua mgombea ambae wote watakuwa na uwezo wa kumtetea, na ata kama ukiulizwa je huyu atafaaa kupiga vita rushwa? Jibu lako liwe ndiyo na si ndiyo ya mdomoni tu lakini mpaka kwenye nafsi yalo iwe hivo.

Kazi kwenu CCM.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni upuuzi kutumia reference ya Rais mbaguzi wa maendeleo. Hivi uende Tunduma alikowaambia mchagueni huyu wa CCM ndiyo nitawapa maji, halafu uweke hizo clips za Mwendazake, utakuwa hujipendi.
 
..Magufuli alikuwa mropokaji tu.

..alikuwa anaaibisha kwa kutoa maneno ya kweli, matusi, na udhalilishaji.

..pia alikuwa analigawa taifa kwa kuhutubia kwa kilugha.

Kwa iyo kipindi chake Mtwara ilijitenga Na Rukwa? Ficha kamasi zako zilizo jaza kichwa chako
 
Ni upuuzi kutumia reference ya Rais mbaguzi wa maendeleo. Hivi uende Tunduma alikowaambia mchagueni huyu wa CCM ndiyo nitawapa maji, halafu uweke hizo clips za Mwendazake, utakuwa hujipendi.

Chuki zako kwa yule mzee hazitikusaidia lolote. Ila siku moja utamkumbuka tu kwa mazuri aliyokufanyia, ndgelesi mmoja wewe
 
..Magufuli alikuwa mropokaji tu.

..alikuwa anaaibisha kwa kutoa maneno ya kweli, matusi, na udhalilishaji.

..pia alikuwa analigawa taifa kwa kuhutubia kwa kilugha.
Onesha ushahid wa hayo matusi, sio kuropoka tu sababu ya chuki zakipumbavu
 
Ulitaka aongee lugha gani?

Mijitu bwana huwa hamkosi maneno! Oohh analigawa taifa!!!

Mtu anaongea na watu wa jamii yake kwa lugha yao, wewe mpuuzi mmoja wa kishimundu unawashwa??

Kuongea lugha ya watu wa jamii yako inawafanya wajisikie kuwa uko pamoja nao, na sio ukabila kama unavyotaka kuaminisha watu hapa!

Machaga bwana!!

..alitakiwa aongee KISWAHILI tena fasaha.
 
Naanza kujiuliza ilikuwaje Hotuba za Nyerere na Magufuli zinasikiluzwa sana? Sijawahi ona mtu anachukua hotuba ya Mwinyi nakuisemea jambo? Hotuba za Mkapa nazo sioni wakiangaikanazo pia za JK!

Kwanini Mwalimu Nyerere hotuba zake zi hai mpaka leo?

Vision ya Mwalimu Nyerere kwa Tanzania ikishabiihana sana na Vision ya Magufuli, Usishangae kwanini azimio la Arusha liliondoolewa kwa ujanja wa Azimio la Zanzibar.

Naiona 2025 lakini si sana ila 2030 nahisi kabisa wanachi watakuwa wanajifariji na hotuba za Mwal Nyerere na Magufuli. Mwal Nyerere aliwahi kuwaambia CCM 1995 wateua mgombea ambae wote watakuwa na uwezo wa kumtetea, na ata kama ukiulizwa je huyu atafaaa kupiga vita rushwa? Jibu lako liwe ndiyo na si ndiyo ya mdomoni tu lakini mpaka kwenye nafsi yalo iwe hivo.

Kazi kwenu CCM.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hotuba za Magufuli zitakuwa zinakumbusha CCM wasike wakarudia kuchagua Mgonjwa was akili kuwa Rais
 
Watu wa CCM buana... Eti "KUCHARANGE". CCM inastawi katika ujinga wa wanachama wake!!

Back
Top Bottom