Baada ya kumsikiliza Rais Samia nimeelewa ni kwanini CDF Mabeyo alipewa dokezo

Elitwege

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
5,154
10,809
Kwa sisi tuliokuwa karibu na mzee kwenye siku zake za mwisho ,kati ya watu alioongea nao kwa muda mrefu ukiwatoa viongozi wa dini na familia yake ni CDF Mabeyo, nadhani alikuwa mtu wa karibu sana kwenye moyo wa mzee.

CDF Mabeyo aliambiwa mambo mazito mno pamoja na dokezo la kwamba iwe mvua au jua likitokea la kutokea ahakikishe ya kwamba makamu wa rais anaapishwa kuwa rais wa sita wa nchi yetu.

Kwa mjibu wa dokezo hilo kumbe mzee alikuwa ameshamsoma mama kuwa ni mtu mwenye msimamo mkali usioyumba na ni yeye tu ndiyo atakayeweza kuendeleza na kukamilisha miradi yote kwa manufaa ya watanzania wote. Mama alikuwa mwanafunzi mahiri wa mzee aliyehitimu kozi ya miaka 5 kwa daraja la juu kabisa. Kumbuka miaka 5 ni sawa na kumaliza degree ya udaktari.

Kwa jinsi rais Samia anavyokemea tabia mbaya za wahuni ikiwemo pale alipowaonya wabunge waache kudemka na jinsi ambavyo yuko tayari kubishana hadharani na spika Ndugai basi kuanzia leo nimeamini na kuelewa ni kwa nini CDF Mabeyo aliachiwa dokezo lile.

Kwa sisi tuliokuwa karibu na mzee kwenye siku zake za mwisho ,kati ya watu alioongea nao kwa muda mrefu ukiwatoa viongozi wa dini na familia yake ni CDF Mabeyo, nadhani alikuwa mtu wa karibu sana kwenye moyo wa mzee.
CDF Mabeyo aliambiwa mambo mazito mno pamoja na dokezo la kwamba iwe mvua au jua likitokea la kutokea ahakikishe ya kwamba makamu wa rais anaapishwa kuwa rais wa sita wa nchi yetu. Kwa mjibu wa dokezo hilo kumbe mzee alikuwa ameshamsoma mama kuwa ni mtu mwenye msimamo mkali usioyumba na ni yeye tu ndiyo atakayeweza kuendeleza na kukamilisha miradi yote kwa manufaa ya watanzania wote. Mama alikuwa mwanafunzi mahiri wa mzee aliyehitimu kozi ya miaka 5 kwa daraja la juu kabisa. Kumbuka miaka 5 ni sawa na kumaliza degree ya udaktari.

Tulidhani waliokuwa karibu yake kina J4 kumbe na wewe ulikuwamo?
 
Hili kawadanganye vijiwe vya kwenu huko uswahilini. Huwezi kutudanganya sisi tunaojua alipougua alizidiwa namna gani. Kwa kifupi ni kuwa hakuwa ameendaa plan yoyote na mambo yalibadilika ghafla bila mtu yoyote kutarajia.
 
Kwa sisi tuliokuwa karibu na mzee kwenye siku zake za mwisho ,kati ya watu alioongea nao kwa muda mrefu ukiwatoa viongozi wa dini na familia yake ni CDF Mabeyo, nadhani alikuwa mtu wa karibu sana kwenye moyo wa mzee.
CDF Mabeyo aliambiwa mambo mazito mno pamoja na dokezo la kwamba iwe mvua au jua likitokea la kutokea ahakikishe ya kwamba makamu wa rais anaapishwa kuwa rais wa sita wa nchi yetu. Kwa mjibu wa dokezo hilo kumbe mzee alikuwa ameshamsoma mama kuwa ni mtu mwenye msimamo mkali usioyumba na ni yeye tu ndiyo atakayeweza kuendeleza na kukamilisha miradi yote kwa manufaa ya watanzania wote. Mama alikuwa mwanafunzi mahiri wa mzee aliyehitimu kozi ya miaka 5 kwa daraja la juu kabisa. Kumbuka miaka 5 ni sawa na kumaliza degree ya udaktari.

Kwa jinsi rais Samia anavyokemea tabia mbaya za wahuni ikiwemo pale alipowaonya wabunge waache kudemka na jinsi ambavyo yuko tayari kubishana hadharani na spika Ndugai basi kuanzia leo nimeamini na kuelewa ni kwa nini CDF Mabeyo aliachiwa dokezo lile.

ulikuwa lumumba bwana ! unakuja kuzunguka kwa staili yako kuisafisha ccm kwenye kamati za ukoo wao wameshavurugana
 
Kwa sisi tuliokuwa karibu na mzee kwenye siku zake za mwisho ,kati ya watu alioongea nao kwa muda mrefu ukiwatoa viongozi wa dini na familia yake ni CDF Mabeyo, nadhani alikuwa mtu wa karibu sana kwenye moyo wa mzee.
CDF Mabeyo aliambiwa mambo mazito mno pamoja na dokezo la kwamba iwe mvua au jua likitokea la kutokea ahakikishe ya kwamba makamu wa rais anaapishwa kuwa rais wa sita wa nchi yetu. Kwa mjibu wa dokezo hilo kumbe mzee alikuwa ameshamsoma mama kuwa ni mtu mwenye msimamo mkali usioyumba na ni yeye tu ndiyo atakayeweza kuendeleza na kukamilisha miradi yote kwa manufaa ya watanzania wote. Mama alikuwa mwanafunzi mahiri wa mzee aliyehitimu kozi ya miaka 5 kwa daraja la juu kabisa. Kumbuka miaka 5 ni sawa na kumaliza degree ya udaktari.

Kwa jinsi rais Samia anavyokemea tabia mbaya za wahuni ikiwemo pale alipowaonya wabunge waache kudemka na jinsi ambavyo yuko tayari kubishana hadharani na spika Ndugai basi kuanzia leo nimeamini na kuelewa ni kwa nini CDF Mabeyo aliachiwa dokezo lile.

Mtu wa kwanza mvurugaji CCM ni Ndugai. Huyu ni msema hovyo na mwenye dharau za namna flani....andeshe Bunge amuache mama aendeshe serikali.

Ikibidi pia aondoleweatafutwe spika imara na loyal kwa mama
 
Je, tufuate katiba au tufuate pombe ambayo ni marehemu tayari?

Watanzania msije ruhusu kibaraka wa pombe akashika madaraka makubwa katika nchi yetu wakati huu ambapo katiba na taasisi muhimu hazina meno.
 
Mtu wa kwanza mvurugaji CCM ni Ndugai. Huyu ni msema hovyo na mwenye dharau za namna flani....andeshe Bunge amuache mama aendeshe serikali.

Ikibidi pia aondoleweatafutwe spika imara na loyal kwa mama
We kweli mchele wa vitumbua!! Sipika awe royal kwa rais?? Kivipi yani??
 
Back
Top Bottom