Fatuma Karume muombe radhi Prof. Abdirazak Gurnar kwa niaba ya Mzee Karume

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Ndugu zangu,

Huu ni wito kwa "mwanaharakati" na "mtetezi wa haki za binadamu" kupaza sauti na kumuomba radhi Prof. Abdirazak Gurnar na wengine ambao waligeuka wakimbizi kutokana na siasa za Mzee Karume.

Uungwana ni vitendo, upendo huanzia nyumbani. Fatuma Karume aka shangazi kwenye hili umekuwa kimya sana. Toa tamko la kuomba radhi.
 
Huyo jamaa Kama asingekimbia na kwenda huko UK asingekuwa Prof na asingeshinda hiyo tuzo.

Yeye ndio anatakiwa ashukuru, kuna jamaa nawafahamu walikimbia Zanzibar 2001 wakahamia UK wanashukuru Sana kwani maisha yao yapo safi sana wangekuwa Zanzibar wangekuwa wala urojo tu
 
Huyo ametunukiwa amekuwa Mtanzania kabla ya hapo waja waliolaaniwa miccm ikimwita Hizbu na wale waliobahatika kufuata rangi ya mtume wote wanaonekana si watanzania ni mahizbu au waarabu.

Ila wakipata jiwe la Tanzanite kilo moja au na nusu tu watakuwa waTanzania wenye kuviteka vichwa vyote vya habari.

Tatizo lipo palepale MiCCM ni wabaguzi na ubaguzi wao hauna miguu wala vichwa badala ya kujiita Watanzania walivyolaanika hujiita Waafrika mbona wakenya au waruanda au waburundi wanajinasibu kwa jina la nchi yao na si Umwafirica.

Kama mnaona Tabu kujiita waTanzania basi hata Utanganyika linafaa. Miccm inaivalisha Zanzibar Uafirika lakini waZenji hawajakubali na hawatakubali watabaki kuwa Wazanzibari.

Wabaguzi wakubwa mnaaibika sasa, Gurna kawa Mtanzania wa kupigiwa mfano. Nawashangaa sana. Ubaguzi kitu kibaya sana.
 
Kuna wapare, wairaqi wa shinyanga kuna waliochanganya damu na wajerumani mbona hamuwabaguwi kwa kuwaita waarabu hata wachaga wapo weupe kushinda waarabu mbona hamuwaiti mahizbu , mnajaza chuki Zanzibar kisha mnakaa pembeni.

Mungu kawalaani Raisi wa sasa ametokea Zanzibar japo Mzanzibari mkaazi haalfu mweupe halafu kahusiana na waarabu tena waOman kule kule kwa Sultani kabusi.

Mkubali tu muende kanisani mkaondolewe laana wale wa msikitini laana haiondoki lazima uadhibiwe ibakiwe ALLAH akusamehe tu na kwa kutubu na kuiendeleza toba yako yaani usiridudie.
 
Ndugu zangu,

Huu ni wito kwa "mwanaharakati" na "mtetezi wa haki za binadamu" kupaza sauti na kumuomba radhi Prof.Abdirazak Gurnar na wengine ambao waligeuka wakimbizi kutokana na siasa za Mzee Karume.

Uungwana ni vitendo,upendo huanzia nyumbani.Fatuma Karume aka shangazi kwenye hili umekuwa kimya sana..toa tamko la kuomba radhi.
Umenikumbusha Tundu Lisu na Godbless Lema!
 
Punguza jazba, jielekeze kwenye hoja
Huyo ametunukiwa amekuwa Mtanzania kabla ya hapo waja waliolaaniwa miccm ikimwita Hizbu na wale waliobahatika kufuata rangi ya mtume wote wanaonekana si watanzania ni mahizbu au waarabu.

Ila wakipata jiwe la Tanzanite kilo moja au na nusu tu ,watakuwa waTanzania wenye kuviteka vichwa vyote ,vya habari.

Tatizo lipo palepale MiCCM ni wabaguzi ,na ubaguzi wao hauna miguu wala vichwa badala ya kujiita Watanzania walivyolaanika hujiita Waafrika mbona wakenya au waruanda au waburundi wanajinasibu kwa jina la nchi yao na si Umwafirica.

Kama mnaona Tabu kujiita waTanzania basi hata Utanganyika linafaa. Miccm inaivalisha Zanzibar Uafirika lakini waZenji hawajakubali na hawatakubali watabaki kuwa Wazanzibari.

Wabaguzi wakubwa mnaaibika sasa, Gurna kawa Mtanzania wa kupigiwa mfano ,Nawashangaa sana.ubaguzi kitu kibaya sana.
 
Ndugu zangu,

Huu ni wito kwa "mwanaharakati" na "mtetezi wa haki za binadamu" kupaza sauti na kumuomba radhi Prof.Abdirazak Gurnar na wengine ambao waligeuka wakimbizi kutokana na siasa za Mzee Karume.

Uungwana ni vitendo,upendo huanzia nyumbani.Fatuma Karume aka shangazi kwenye hili umekuwa kimya sana..toa tamko la kuomba radhi.
Ukianza kumchimba Amani A Karume huko Ccm hutakuwa na future Wakudadavuwa . Kama unadhani nakutatania subiri sasa hivi yakukute.

Na hivi ulishaikimbia cdm . Utakuwa yatima sasa hivi.
 
Back
Top Bottom