Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Ripoti ya kamati ya Kilichotokea Cloudes kutolewa leo saa nane Mchana
Umeona mbali sana. Binafsi ningependa hawa jamaa waendelee kuvuana nguo, huyo Nepe ni kimeo katika ustawi wa maisha ya watu kuliko hata Bashiiite. Wote hawafai, wanapochambana ni furaha yangu kuona wakiangamizanaJapo media kuanzia leo zimeamua kususia habari za jamaa sijui hii wataitangaza/andika? Au hii inaangukia kundi gani; ni habari ya Nape au RC?
-ve dhidi yake zitaripotiwa. +ve kapuni!Japo media kuanzia leo zimeamua kususia habari za jamaa sijui hii wataitangaza/andika? Au hii inaangukia kundi gani; ni habari ya Nape au RC?
Hivi ndivyo inavyokuwa Eeeee?-ve dhidi yake zitaripotiwa. +ve kapuni!
ubabe ubabe tu mwaka huu hadi ijulikane bosi ni nani nchi hii - wachaguliwa au wachaguaji!!Hivi ndivyo inavyokuwa Eeeee?
Japo media kuanzia leo zimeamua kususia habari za jamaa sijui hii wataitangaza/andika? Au hii inaangukia kundi gani; ni habari ya Nape au RC?
Japo media kuanzia leo zimeamua kususia habari za jamaa sijui hii wataitangaza/andika? Au hii inaangukia kundi gani; ni habari ya Nape au RC?
Hivi mkuu ikipita siku hujachochea unajisikiaje? kuna kitu umechochea hapa japo sijui ni kitu gani ila kuna kituJapo media kuanzia leo zimeamua kususia habari za jamaa sijui hii wataitangaza/andika? Au hii inaangukia kundi gani; ni habari ya Nape au RC?
SawaUwiiii! hii habari itaripotiwaje? Au tufanye hivi,hii habari tuseme ni ya Nape na maeneo yote ya kumtaja Baaaashite litumike tu neno "mvamizi huyo"
Hadi sasa hivi bado sijaelewa kwanini watu wanadhani Nape anamponda au may be anamchukia makonda; Nape kama mkuu wa mambo ya habari na utangazaji laity kama angekaa kimya kuhusu tukio lilitokea mawingu studio then kila mtu angemdharau na au pia kama angemtetea yule bwana kwa kitendo chake kile then tafsiri ki nchi ambayo ingekuja hadi kwenye jumuia za kimataifa ni kwamba Tanzania inaua uhuru wa habari, jumuia ya kimataifa haimtambui RC kwasababu yeye sio wa Kimataifa, yeye ni wa level ya kimkoa tu, yaani anaweza kupiga mkwara wowote ule ndani ya Dar tu but Nape kwa level yake yupo level ya kitaifa na hata kimataifa, anao uwezo wa kufungia Radio free Africa iliopo Mwanza na hata TV Iringa but yule kijana wa Kolomije hana jeuri hiyo; to me, Nape ame play part yake bila kujali anampenda au hampendi mhe RC.Umeona mbali sana. Binafsi ningependa hawa jamaa waendelee kuvuana nguo, huyo Nepe ni kimeo katika ustawi wa maisha ya watu kuliko hata Bashiiite. Wote hawafai, wanapochambana ni furaha yangu kuona wakiangamizana
nitaamini baada ya matokeo, yasije yakatokea ya jana[HASHTAG]#Ripoti[/HASHTAG] Mhe. Nape atapokea ripoti ya kamati ya uchunguzi wa kilichotokea clouds leo saa nane kamili katika Ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO
Ipo salama msijali. Nape haendeshwi endeshwi na wala haitaji mbeleko kama wengine.Naomba Mungu tu HIYO ripoti isipigwe danadana wala kuchakachuliwa.
Hyo ripoti iwe salama tuu .. Mana Kuna jambazi maarufu hapa Dar es Salaam..