Rais Magufuli anaposema "msema kweli mpenzi wa Mungu" sijui kama Mafuru anaamini hivyo!

Tigershark

JF-Expert Member
Oct 9, 2018
4,281
2,000
Mafuru ni yule aliyetumbuliwa na JPM akiwa mweka hazina wa taifa kwa sababu ya kusema ukweli clouds 360 juu ya noti kupotea!
-Alisema noti imepotea kwa maamuzi ya serikali kubana matumizi!
-Akasema pesa imepotea baada ya serikali kuzilazimisha taasis kuweka fedha BOT ambako hazizai na wala haziko kwenye mzunguko!
-Akasema serikali kugharamia miradi mikubwa hivyo fedha kwenda nje kunapunguza mzunguko wa ndani!

Wakati akisema hayo,JPM alikuwa akisema waliokuwa wakilalamika juu ya kukosekana kwa noti mtaani ni wapiga dili na wavivu!

Mafuru alipotoka kwenye kipindi alikutana na barua ya kutumbuliwa!!!!!!

JPM:"Msema kweli ni mpenzi wa Mungu"!

Sasa sijui kuna ukweli mwingine unakuwa sio mpenzi wa Mungu!
 
Mindi

JF-Expert Member
Apr 5, 2008
2,906

Kwa Magufuli, KUSEMA KWELI maana yake ni KUSEMA KILE ANACHOAMINI YEYE. Hapo utakuwa salama. Ukweli ni kumsifia yeye Magufuli na serikali yake.
 
antimatter

JF-Expert Member
Feb 26, 2017
2,402
2,000
Hakutambua kuwa awamu hii akili unapeleka likizo kama akina kabundi, unabaki na kazi moja tu: kulamba miguu ya mkulu
 
mgoloko

JF-Expert Member
Jun 25, 2016
4,695
2,000
Mafuru ni yule aliyetumbuliwa na JPM akiwa mweka hazina wa taifa kwa sababu ya kusema ukweli clouds 360 juu ya noti kupotea!
-Alisema noti imepotea kwa maamuzi ya serikali kubana matumizi!
-Akasema pesa imepotea baada ya serikali kuzilazimisha taasis kuweka fedha BOT ambako hazizai na wala haziko kwenye mzunguko!
-Akasema serikali kugharamia miradi mikubwa hivyo fedha kwenda nje kunapunguza mzunguko wa ndani!

Wakati akisema hayo,JPM alikuwa akisema waliokuwa wakilalamika juu ya kukosekana kwa noti mtaani ni wapiga dili na wavivu!

Mafuru alipotoka kwenye kipindi alikutana na barua ya kutumbuliwa!!!!!!

JPM:"Msema kweli ni mpenzi wa Mungu"!

Sasa sijui kuna ukweli mwingine unakuwa sio mpenzi wa Mungu!
Nafikiri Jiwe kwa kipindi hiki keshaelewa Mafuru alikuwa akimaanisha nini! Kuna msemo wa waswahili "masikio yakizidi kichwa...... ". Sasa waTz wanataabika kwa maamuzi ya mkemiamchumimhandisi anayejua kila kitu. Nakumbuka Bw.Alfayo Kidata alipokuwa CG wa TRA Jiwe alileta sokomoko juu ya mabenki kutozwa VAT kwenye miamala ya wateja wao akidai mzigo wa tozo utakuwa kwa mabenki wakati uhalisia mlaji wa mwisho ndiye anabebeshwa zigo la VAT na kasababisha Kidata kuingia mitini kila akifuatwa ili kuepuka kutofautiana na maamuzi ya Jiwe
 
Hivi hiyo VAT kwenye miamala iliishia wapi?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom