Hakuna Siri tena wakati na aina za siasa zilizowafanya waogopwe na kuwa tishio ( Ndizo walizozipenda) hazina nafasi tena
Na uteuzi wa tume mpya na mwenendo wa siasa za mama ndani na nje ya CCM...
Ili kupata ithibaki inabidi sasa muhamie upande wa kumtetea Rais. Mkibaki kushangaa shangaa mtakuja kupigwa chini Ndugai akiondolewa. Hili nawashauri. Anzeni nanyi kumrushia mawe na madongo akifa...
Hakuna asiyejua, miaka mitano yote, wananchi mjini na vijijini, waliunganishiwa umeme kwa bei hiyo ambayo leo inasemwa, hapo katikati tulidanganywa na haiwezekani! Na wakati huohuo, hata anayesema...
Ikiwa Jaribio la kumtoa Job Ndugai je atakaye kuja atakuwa anafaa na kukidhi vigezo?? Mimi naona atakayekuja ndiyo atakuwa hovyo kwani utakuwa muhuri wa Serikali atafanya kazi kwa shinikizo na...
Magufuli alizima mitambo, Sasa mabwawa yamepungua maji, hivyo italazimika mitambo ya kufua umeme wa Bei ghali ya mafuta mazito kuwashwa rasmi, ili kunusuru mgao huu mkali wa umeme
Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Medard Kalemani, amewataka Watumishi wa Shirika la umeme Tanzania ( TANESCO) pamoja na REA, kufanya kazi kwa kasi, kwa ubunifu na kwa usahihi ili kuhakikisha vijiji...
Wote tumeona spika alivyoshushiwa spana na wakuu wa dola pamoja na wale wengine kwenye chama. Hebu tujiulize kidogo, mnapomuondoa spika kwa kutimiza wajibu wake mnapeleka ujumbe gani kuhusu bunge...
Katibu wa Bunge huteuliwa na Rais, na ndiye humwapisha, hatakubali ratiba iingie Bungeni ya kumhujumu SSH, atatoa taarifa mapema ili mapambano yaanze.
Askari wa Bunge wanatoka kwenye majeshi...
===
Chama Cha Mapinduzi Tanzania ambacho ndio Chama Tawala cha nchi hiyo kimewatakia heri Wananchi wa nchi hiyo katika kuufika mwaka mpya wa 2022,
CCM chini ya Mwenyekiti wake Mhe Samia Suluhu...
Sina budi kupongeza serikali kwa hatua mbalimbali za kutulea. Hapa nakusudia serikalika za awamu zote.
Pamoja na pongezi hizo, napenda kukumbuka usemi wa wahenga hapo juu.
Mashirika yetu yote ya...
Machi 26 mtendaji mkuu tanload alisema Daraja la Wami litakamilika Sept 2021. Kwa mujibu wa Mwananchi, Leo Serikali inakuja na Lugha nyingine. Kwanini tunafanywa watoto
Miaka miwili nyuma...
Kuwepo kwa sintofahamu na mwendelezo wa kauli tatanishi baina ya Wanachama wa chama cha Mapinduzi, CCM ni Jambo jipya linalowavutia wengi kujua mwisho wake.
Baadhi ya watu hukitaja kitendo hiki...
Katika kitu Job Ndugai Anawahitaji wapinzani ni wakati huu! Leo nasema anajuta kuwa mmoja wa watu waliosababisha upinzani kipokonywa haki yao kuwabeza na kudharilisha, sasa leo yamemkuta ambayo...
🔰 TAMKO LA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA
🟢 Leo Tarehe 5 Januari,2022 kuanzia Saa 5:00 Asubuhi
🟢 Eneo Ofisi ya CCM Mkoa wa Dar es Salaam
#NyukiWaMama
Nimeona umepost video nyingine kwa kutumia ukurasa wa “Msemaji wa Serikali” ukidai katika Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2025 (National Development Vision 2025) ambao ulisainiwa na kuanza kutumika...
Wanabodi,
Miaka mitano ya Rais John Pombe Magufuli si mingi. Itaisha muda si mrefu.
Ninajua 2015 vijana wengi wa CCM walijitokeza kuutaka Urais wakiwemo January Makamba, Mwigulu Nchemba hata...
Kwakweli moto umewaka, na wanaounguliwa hawakuomba kusaidiwa kuuzima badala yake wameuchochea wenyewe na hivyo kwa sasa hakuna cha kuokoa tena !
Mawaziri
Ni kauli imetoka kwamba lazima baraza...
Kwa mujibu wa Takwimu zinazotolewa Sasa na makada, Mawaziri waliopita na watu tofauti Magufuli ndio Raisi aliyekopa fedha nyingi kuliko Rais yoyote Tanzania ingawa kaongoza muda mfupi. Je, fedha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.