mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,663
- 18,037
Jamani kuna hii wizara mpya aliyopewa Dorothy Gwajima, inaitwa wizara ya wanawake, jinsia na MAKUNDI MAALU MU.
Je, hayo makundi maalumu yanayowekwa pamoja na wanawake na jinsia ni yapi hayo?
Isije ikawa ni mashoga na wasagaji na waliobadilisha jinsia! Ni vizuri ikawekwa wazi mapema.
Huko Ulaya na Marekani MASHOGA WASAGAJI ndo huitwa makundi maalumu!!