Lawrence Mafuru anafaa kuwa Waziri wa Fedha

Bowie

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
4,372
6,078
Katika Kipindi cha mahojiano cha clouds fm, nimesikiliza kwa makini jinsi Mr Mafuru akijieleza nimemukubali kama mwanauchumi mzuri na kiongozi asiyekuwa na kinyongo.

Ni wakati wa mwafaka kwa serikali hii ya awamu ya tano kumtumia huyu mwanauchumi mzuri kwenye nafasi ya juu.

Kama Rais Magufuli anavyosema msemakweli ni mpenzi wa Mungu, kweli Mafuru ni msemakweli.
 
Watu type ya Mafuru ni ngumu sana kufanya kazi na JPM.

Yeye ndie anaetaka aonekane star wa kila jambo.

Na pia kusema kwako ukweli lazima kutakuja
kumuumbua ivyo Lazima akuweke pembeni tu.
 
Tafa
Katika Kipindi cha mahojiano cha clouds fm, nimesikiliza kwa makini jinsi Mr Mafuru akijieleza nimemukubali kama mwanauchumi mzuri na kiongozi asiyekuwa na kinyongo. Ni wakati wa mwafaka kwa serikali hii ya awamu ya tano kumtumia huyu mwanauchumi mzuri kwenye nafasi ya juu. Kama Rais Magufuli anavyosema msemakweli ni mpenzi wa Mungu, kweli Mafuru ni msemakweli.
Tafadhali bwana! Are you serious?
 
Yoyote anafaa kuwa Waziri wa fedha...Prof Majimarefu....au yule mbunge aliyevuliwa baraghashia yake....au hata wewe unaesoma ili mradi Mkuu wa kaya akukubali....Hapa kazi tu!!
 
Katika Kipindi cha mahojiano cha clouds fm, nimesikiliza kwa makini jinsi Mr Mafuru akijieleza nimemukubali kama mwanauchumi mzuri na kiongozi asiyekuwa na kinyongo. Ni wakati wa mwafaka kwa serikali hii ya awamu ya tano kumtumia huyu mwanauchumi mzuri kwenye nafasi ya juu. Kama Rais Magufuli anavyosema msemakweli ni mpenzi wa Mungu, kweli Mafuru ni msemakweli.
Naunga mkono hoja na safari imeishaanzishwa
Ndugu Laurence Mafuru Ambae amewahi kua mkurugenzi Mkuu wa NBC Bank na Msajili wa Hazina ameteuliwa kua kamishna wa Sera wizara ya fedha.

Sina tatizo na uteuzi wa Mafuru, najua ni mtaalam mbobezi, mjuzi, ana uzoefu maarifa makubwa lakini swali langu ni kwa nini watu ni wale wale.

Hii nchi ina watu milioni 60, kwa nini kila siku ni wale wale tu, wanatoka hapa wanaenda pale, wanatoka huku wanaenda kule.
Mkuu The Underboss , naielewa concern yako, lakini ukweli ni kuwa japo tuna Watanzania wengi wenye sifa na vigezo vya kwenye macheti tuu, lakini the people who can delivery ni wachache, ukiwabaini huwezi kuzuia recycling them, huyu ni one of them, he is good na hapo ni just a stepping stone kwenye bouncing back nafasi yake halisi bado.

Mafuru ni Mmoja wa Mashujaa wa Taifa Hili, Kwa Kuwa Mkweli Daima, Jee Kupangiwa Kazi Muhimu Zaidi?.
P
 
Back
Top Bottom