Katika miamba ya siasa, utawala na uongozi kwenye nchi hii sio rahisi kushindwa kutaja jina la mzee Philip Mangula, makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara. Ni moja ya watu ambao wameacha historia muhimu...
Niwe mkweli kabisaa Spika wetu wa bunge kwasasa hana ubavu wala nguvu za kisiasa kutokana na kuwa na sura mbili baada ya kulifanya bunge likawa sehemu ya kupiga makofi na kumshangilia mwendazake...
Wabunge wa CCM kila siku hujidai kuijua vilivyo Katiba ya JMT na mara zote wanasema ni nzuri haina mapungufu, kumbe kiukweli hawaielewi kabisa.
Kwa mujibu wa katiba ya JMT Rais Samia ni Rais...
Akiwa kwenye kongamano lililokuwa limeandaliwa na vijana wenyeji wa dodoma ambapo alialikwa kama mgeni rasmi katika kongamano hilo, spika Ndugai amedai kuwa kuna upotoshaji mwingi sana unaendelea...
Dodoma. Spika wa bunge, Job Ndugai amewataka wanawake wenye mamlaka kutotumia vyeo vyao vibaya.
Spika Ndugai amesema mtu akipewa mamlaka halafu akaanza kuvimba na kushurutisha kwa kuwaweka watu...
Ndugai wamemsema mpaka amepata maluweluwe.
Rais anataka tu kuliangamiza taifa na pressure zake za 2025. Come 2025 rais anataka aonekane amempiku Magufuli kwa kila kitu.
Hii inaitwa kicking the can...
Kwema wakuu!
Katika duru za kisiasa, kinachoendelea ni sakata la Mhe. Spika na Mkuu wa nchi, Mhe. Rais Samia.
Nimesikiliza pande zote mbili nikaona nami nitoe maoni yangu.
Kama mimi ndio...
Mama nakuomba uwe critical unazungukwa kwa kasi sana na Ndugai ndio engineer wa hilo kwa kupitia Wabunge na ameandaa wachangiaji wa kukushutumu indirectly ili iwe vyepesi kupenyeza kura ya...
Kwa walio fatilia hotuba ya Rais Jana mtakubaliana na Mimi yakuwa Rais Samia alifkia hatu akataka kutamka hivi, Mimi Rais Samia nimeamua kufungulia shughuli zote za siasa kwa wapinzani Ili Sasa...
Utawala wa Awamu ya sita ulianza rasmi tarehe 17 mwezi machi mwaka 2021, Rais Samia alichukua kiti cha Uongozi baada ya kifo cha JPM.
Katika miezi hii 9 na ushee Mama huyu alipochukua kiti cha...
Ndugai kakalia kuti kavu. Samia akiamua Ndugai asiwe Spika, nafasi ya Ndugai kuwa Spika ni zero.
Samia ni Mwenyekiti wa CCM, ana uwezo wa kuitisha wabunge wote, na akaongea nao kama kamati ya...
Yafuatayo ndio nimejifunza kutokana na hotuba ya Jana.
1. Rais amekasirishwa na maoni yaliyotolewa na speaker Ndugai kuhusu mikopo.
2. Rais amemshambulia speaker Ndugai at individual capacity na...
Aliyekua mbunge machachari na mwanasiasa mwenye maono Godbless Lema amemtakia safari njema Dotto Biteko.
Lema ni moja watu wenye maono makubwa sana kwenye nchi hii, binafsi ninamkubali sana Lema...
Kama kichwa Cha mada kinavyojieleza
Sisi tulioumizwa na utawala uliopita tunakiombea kwa Mungu aliye hai na tuna kuombea kweli kweli.
Hatukuombei kinafiki kama mtangulizi wako alivyokuwa...
Ndani ya CCM , nje ya CCM kote alitengeneza màadui. Vinginevyo haya ya sijui kura ya kutokuwa na Imani naye, mara ajiuzulu, chama kumfukuza yangeligonga mwamba Kama angelikuwa amejitengenezea...
Mzee Stephen Wassira amesema CCM imeridhishwa na kitendo cha Spika Ndugai kutoka hadharani na kuomba msamaha kwa Rais Samia na wananchi kwa ujumla kufuatia kauli aliyoitoa kuhusu Mikopo...
"...wakati wa Magufuli ilifikia wakati wafanyabiashara wanagombania kulipa kodi kwa hiari yao."
"...nakumbuka kuanzia 2018 ndiyo kipindi hasa wafanyabiashara nchini karibu wote wakubwa kwa wadogo...
Hakuna Siri tena wakati na aina za siasa zilizowafanya waogopwe na kuwa tishio ( Ndizo walizozipenda) hazina nafasi tena
Na uteuzi wa tume mpya na mwenendo wa siasa za mama ndani na nje ya CCM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.