Ndio stage tuliyofikia WaTz, haya makelele ya Spika ndugai na Raisi Samia ni ya kutafuta kiki na kutaka kupindisha kule wananchi wanakotaka kwenda ,kwenye Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya...
Sinior Makamba alijua mwanae ana andaliwa kuwa Rais wa jamhuri, enzi za kikwete ikala kwake enzi za mwendazake.
Alipokufa Mzee magu baba akawa na Imani yakuwa January amerudi Tena,je January...
Wadau vipi ?
Ndugai akitangaza kujiunga na Chama kikuu cha upinzani mtampa tiketi ya kugombea Uraisi hapo kama ikifika 2025,katika uchaguzi Mkuu?
Bora ajiunge na Chadema, kwani kwa 2025...
Mbatia katika hotuba yake ya mwisho wa mwaka alisikika akisema mpaka sasa Serkali ya awamu ya sita imeshakopa takriban Trillion 10 tokea iingie madarakani! Nauliza kwanini serikali haiji kutoa...
Imani huzaa Imani na hofu huzaa hofu.
Kwasasa Rais hana Imani tena na Spika, ana hofu na Spika na kundi lake ambalo hajui wako wangapi, ni akina nani, wako wapi na wanapanga nini na nini lini na...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kumekuwepo watu wanaohoji kwanini Nchi imekopa japokuwa kuna fedha za tozo, akifafanua kuwa Taifa haliwezi kwenda na fedha za tozo pekee
Ameeleza hayo akipokea...
Hata kama ni kueleweka Mheshimiwa Ndugai alishindwa kujizuia na hormones zake zikamtoa kwenye uhalisia na kumuweka kwenye attacking ya liwalo na liwe, hasira ambazo unaweza kuuwa bila ya kukusudia...
Kipindi kirefu viongozi wa upinzani wameshupaza shingo kuhamasisha uhuni wa maandamano dhidi ya serikali halali ya nchi yetu.
Nafikiri muda umefika sasa na najua viongozi wote wana watoto wakubwa...
Kampuni ya Apple ambayo inatengeneza bidhaa za iPhones na Mac imekuwa kampuni ya kwanza kufikia thamani ya dola trilioni 3 katika soko la hisa
Thamani hiyo ni kubwa kuzidi hata Pato la Ndani la...
Kudandia masuala ya mpito kunaigharimu Chadema kila siku.
Mtifuano wa Spika Ndugai na mkuu wake wa nchi kunawafanya Chadema kushupalia hii mtifuano.
Wanasahau kuwa kama chama wao wanamatatizo...
Ilikuwa ni vigumu kwa Bulembo kutokumjibu yule mwamba wa Kongwa.
Ajabu kimya kimetamalaki kutoka kwa mustaafu mpenda kutoa majibu kwa wale wote wakisemacho chama vinginevyo.
Kaufyata?!
Katika watu ambao historia ya Tanzania huwa haiwatendei haki basi Rashid Mfaume Kawawa anaongoza - ni nadra Sana kusikia historia sahihi ya Kawawa.
Mara nyingi Historia yote ya Nyerere inaweza...
Spika mstaafu wa bunge la Kenya amewaambia wabunge wa Kenya mbele ya mgeni rasmi Spika wa Tanzania mh Job Ndugai kuwa waache kiburi na kujikweza kwani kuna maisha baada ya siasa.
Spika huyo...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Job Ndugai ameonesha kutofurahishwa na mchango wa Mbunge wa jimbo la Ndanda Secil Mwambe ambaye amelieleza Bunge kuwa limekuwa likiingiliwa...
Kwako Job Ndugai, nakusalimia sana. Pole na harakati za hila chafu na za kishetani za kuliangamiza taifa, ni ukweli ulo wazi juu ya ushiriki wako wa dhati katika mbio hizi, laana hii itasambaa...
Job Yustino Ndugai, Naibu Spika na Mbunge wa Kongwa.
Ahoji uadilifu wa baadhi ya watendaji serikalini, kutokana na tabia yao ya kuvujisha siri za Serikali kwa wabunge wa upinzani.
Awaomba...
Wanabodi,
Mwaka mmoja uliopita niliwahi kuleta hoja hii humu Wito: Wabunge Badilini Kanuni Kuondoa Udikteta wa Spika/N.Spika!
Leo nimeikumbuka kufuatia vurugu za jana bungeni!.
Chanzo cha...
Mimi binafsi nasema mama kawavumilia sana na alifanyanao kazi kwa imani watabadilika na alifahamu maamuzi hayo ni mzigo mzito sana kwake...
Hakuna Kiongozi Wa Afrika aliefanya kazi na timu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.