Rais shtuka! Soon utapigiwa kura ya kutokuwa na Imani na wewe. Spika ana-mobilize wabunge kwa kasi sana, kumbuka hakupendi

Bulesi

Platinum Member
May 14, 2008
10,302
2,000
Ndugai ni mwizi kama report za CAG zilivyoonesha huko nyuma, na pia anamtumia mkewe ambae ni ded wa Bahi kuliibia taaifa na kutumia uspika wake kuwatisha TAMISEMI wasimchukulie hatua!!

Ndio maana tunamsihi Ummy Mwalimu kuwa asiwe kama Jaffo aliyekuwa muoga kumchukulia hatua yule mama kwa sababu ya kumuogopa Ndugai.

Sio siri kuwa Ndugai kwa ufisadi wake hampendi Rais wetu kwani ameonesha utofauti wa jinsi anavyotaka nchi iendeshwe tofauti na mnafiki Ndugai ambaye alikuwa beneti na mwendazake na leo anampinga!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom