nditolo
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 3,802
- 4,459
Kama kichwa Cha mada kinavyojieleza
Sisi tulioumizwa na utawala uliopita tunakiombea kwa Mungu aliye hai na tuna kuombea kweli kweli.
Hatukuombei kinafiki kama mtangulizi wako alivyokuwa anaombewa kinafiki na wanafiki.
Mungu Yuko pamoja nawe. Tumeona haki ikitawala na kwa mara ya kwanza tumesikia kiasi Cha pesa kilichokopwa na matumizi lkn pia na aina ya mikopo
Kwa taarifa tu ni kuwa hizi kelele Zina maana sawa
1. Walizoea kudanganywa.
Mtangulizi wako alikuwa muongo sana na muovu aliharibu sana na alikuwa tayari kuwaaminisha watanzania kuwa yeye ni mungu. Reference maneno ya Lugola.
2. Viongozi wanaokupinga ni wale walikuwa kundi Moja na yule muovu sasa wanataka wakutie hofu ushindwe machoni pa watu. Tuko pamoja na USIOGOPE
3. Kelele za waliokuwa wanakula kwa kunyang'anya kama Sabaya, Makonda na Mnyeti Hawa usitegemee waku support
4. Serikali Yako wahusishe wapinzani hasa waliokuwa wanateswa na yule muovu. Wateue Ili wakusaidie kazi hasa
1. Mnyika
2. Lissu
3. Msigwa
4. Kiwanga
5. Zito Kabwe
6. John Heche
Kiongozi wao Mbowe usimteue Ili awasimamie kwenye chama
Wape kazi mama hawatakiangusha
Ikiwezekana mteue hata Sugu, huyu mtu tangu nazaliwa sijawahi muona anaisfia Serikali yeye ni kukosoa na kutaka haki itendeke.
Mungu akubariki sana.