johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,845
- 141,768
Wabunge wa CCM kila siku hujidai kuijua vilivyo Katiba ya JMT na mara zote wanasema ni nzuri haina mapungufu, kumbe kiukweli hawaielewi kabisa.
Kwa mujibu wa katiba ya JMT Rais Samia ni Rais kamili na ataruhusiwa kugombea tena 2025 kwa ajili ya muhula wake wa pili.
Na kwa mujibu wa katiba ya CCM ya mwaka 1977 na marekebisho yake upo utamaduni ambapo Rais ni lazima atumikie mihula yote miwili ili akamilishe maono yake.
Sasa hawa wabunge wa CCM hili swala la Rais wa mpito wamelitoa wapi?
Mungu wa mbinguni awasamehe bure.