Matunda ya Uongozi wa Rais SSH yaanza kuonekana kutokana na ukuaji wa Uchumi.
Hongera Sana Mama juhudi zako zimeanza kuzaa matunda,Watanzania tutegemee Neema zaidi kwa miaka ijayo
Spika wa Bunge Job Ndugai amewaasa wabunge kuchangia kwa uwazi bila kuogopa mpango wa bajeti wa mwaka 2021/2022 na sio kusubiri serikali ifeli kisha walaumu.
Spika amesema kwa mfano Taarifa ya...
Kaondolewa yule wa Mahesabu akachomekwa mwengine ilifuatwa Katiba ?
Sasa hata huyu Ndugai anaweza kuondolewa bila ya kufuatwa Katiba, Kwa Sasa Raisi ndio Mkuu wa Nchi hivyo any time anaweza...
Habari!
Naomba majibu mafupimafupi.
Kwanini viongozi wa Kiafrika huwa ni wagumu kuachia ngazi zao kwa hiari pasi kushinikizwa?
Kiongozi wa Kiafrika akijiuzulu basi ni dhahiri shahiri kuwa hana...
Hili suala Wala haliitaji mjadala kama uliita vyombo vya habari ukaomba msamaha kuwa umekosa unaombwa usamehewe, reaction yake Leo mama ilikuwa ni kusema amekusamehe ila mama kukaa kimya na...
Mh Lema pale bungeni alisema kuwa wabunge wa ccm wanawabagua wabunge wa upinzani kwakuwa wapo wachache bungeni.
Akawaonya kuwa wakisha wamaliza wapinzani watageukiana wao kwa wao na ndiyo itakuwa...
Ndugai hajawahi kuwa na uroho wa urais pamoja na mapungufu yote aliyonayo.
Kuna mawaziri wawili wanautamani sana urais, hao ndio mama na CCM kwa ujumla inabidi iwaangalie kwa jicho la tatu.
Yuda...
Si zamani sana ilikuwa kila kona unaona bendera ya CCM inapepea na wanachama wa Chama hiki Cha CCM wametapakaa na utawajua kwa mashati yao yenye nembo za CCM na wavaa khanga nao umanjano na...
Kuongoza ni kuweka ukweli mbele. Ni kukumbatia na 'kushare' haki kwa unaowaongoza. Ni kufuata taratibu zilizopo huku ukitanguliza maslahi ya unaowaongoza, haki zao na wajibu wao. Kuongoza si...
Bunge litakuwa na vikao vyake Jauary-February 2022.
Nashauri CCM wamzuie spika asiendeshe vikao hivyo kwa sababu jamii haina imani naye tena, ikiwemo CCM na wapinzani, pia aliwahi kusema ana...
Hali si shwari kwa wanaofuatilia siasa za nchi hii toka camarada Legendary Pombe alipotoweka dunia.
Pamoja na kuwa katika wakati mgumu kufuatia kushusha siraha nchini na kuonyesha udhaifu kwenye...
Mpaka SASA sio mawaziri wala Watanzania wa kawaida wanaojua mama anataka nini, anasimamia nini na anatupeleka wapi.
Katika mazingira kama hayo ni kuwa mkimya ili kusoma upepo maana ukifanya...
Tangu mama aingie madarakani namuona kama anawachukulia poa sana wananchi. Wananchi ndio Kinga yake na ndio tuliomkubali akae pale na tukaendelea na shughuli zetu.
Sasa asituchulie poa mara tozo...
Ni Rais wa nchi, Waziri Mkuu, Waziri wa fedha, Gavana wa Benki Kuu, Bunge, Spika, Lwajabe au ni nani hasa?
Na je anapoamua kukopa anakuwa ameshauriwa na nani au anaamua tu yeye mwenyewe kwa...
Binafsi naamini huku mtaani hata mtu binafsi ukifikia hatua ya kukopa Ili kulipa deni unakuwa umefikia point of no return. So how on Earth kama nchi tumefikia hapo . Je hii ni hali ya kawaida...
Kukosekana kwa vifaa hivi kwenye vituo vya afya vingi imekuwa changamoto kubwa kwa matibabu
Ushauri baada ya kufanya vizur kwenye madarasa sasa nguvu ihamishie huko pia kuna vituo vingi vikubwa...
Kati ya mambo ya ajabu yaliyotokea kwenye mkopo wa 1.3 trillion ni mgawanyo wa huo mkopo. Wakati kanuni za Muumgano zinasema kuwa kwa mikopo na misaada ya nje, Zanzibar itapata 7%, na Tanzania...
Alianza kuomba msamaha wakristu wote kwa kumsingizia Yesu kwamba alikuwa na mke,wakristu walimsamehe!!!
Mara nyingine kagusa pabaya,,amejaribu kumdharau rais kisa tu ni mwanamke hapa mfumo dume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.