Wakati Ukuta: Kwaherini kwenye Siasa za nchi Bwana Ndugai, Polepole na wengine wafuatao

Pearce

JF-Expert Member
Dec 15, 2018
577
1,381
Hakuna Siri tena wakati na aina za siasa zilizowafanya waogopwe na kuwa tishio ( Ndizo walizozipenda) hazina nafasi tena

Na uteuzi wa tume mpya na mwenendo wa siasa za mama ndani na nje ya CCM ni wazi tu "Wakati ni Ukuta" kwao hawawezi kuuvuka zaidi ya Neema za Mungu tu ziingilie kati

Kete Yao ya mwisho ilikua kujaribu weka hamshahamsha kwa wananchi baada ya siasa za ndani ya chama kuwatupa

Bahati mbaya makundi mengi walipokuwa wakilia haina ya utawala huyu mzee Ndugai na wenzie waliokuwa wakila mema walipiga kelele kushangilia na kusema "atake asitake ataongezewa"

Sasa mambo yamebadilika sana na hakuna tena future....Polepole alipiga hesabu zake akakutana na kitu hajatarajia na Mzee Ndugai vilevile kala spana za kutosha

Akijidanganya na kiburi alichozoea haoni wapi alipokosea sasa anahamsha ukabila ndio kichaka kilichobakia ili aonewe huruma na wanadodoma
 
Ndugai hatoki mjengoni ana backup ya covid-19
images (16).jpeg
 
Kwaheri Ndugai kitabu kipya kimefunguliwa Tanzania

Bado wengine anguko limeshawafuata
 
Hakuna Siri tena wakati na aina za siasa zilizowafanya waogopwe na kuwa tishio ( Ndizo walizozipenda) hazina nafasi tena

Na uteuzi wa tume mpya na mwenendo wa siasa za mama ndani na nje ya CCM ni wazi tu "Wakati ni Ukuta" kwao hawawezi kuuvuka zaidi ya Neema za Mungu tu ziingilie kati

Kete Yao ya mwisho ilikua kujaribu weka hamshahamsha kwa wananchi baada ya siasa za ndani ya chama kuwatupa

Bahati mbaya makundi mengi walipokuwa wakilia haina ya utawala huyu mzee Ndugai na wenzie waliokuwa wakila mema walipiga kelele kushangilia na kusema "atake asitake ataongezewa"

Sasa mambo yamebadilika sana na hakuna tena future....Polepole alipiga hesabu zake akakutana na kitu hajatarajia na Mzee Ndugai vilevile kala spana za kutosha

Akijidanganya na kiburi alichozoea haoni wapi alipokosea sasa anahamsha ukabila ndio kichaka kilichobakia ili aonewe huruma na wanadodoma
Unaifahamu VIEITE wewe ?

Unadhani_huyu_MHUNI_anafanya_Nini_hapa%3F%0A%0AA._Anahalalisha_UHUNI%0AB._Anahalalisha_wizi_wa...jpg
 
Ndugai kama anajiheshimu na kulinda hadhi yake ajiuzulu tu na wabunge wake 19
Alinde kaheshima hata kalichosalia sababu historia inazama na yeye kama Spika mbovu mwenye maamuzi ya kutoheshimu katiba......halafu hamejihami asishtakiwe
 
Mbona hata wao wanajua hawatorudi ndo maana wameamua kuleta chokochoko
Yaani kama wangekubali katiba ilinde na kuheshimu Sheria pengine Leo nao wangeheshimika shida walichojitengenezea Leo hii kimewatupa nje nao wanalazimika kula matunda yao
 
Hakuna Siri tena wakati na aina za siasa zilizowafanya waogopwe na kuwa tishio ( Ndizo walizozipenda) hazina nafasi tena

Na uteuzi wa tume mpya na mwenendo wa siasa za mama ndani na nje ya CCM ni wazi tu "Wakati ni Ukuta" kwao hawawezi kuuvuka zaidi ya Neema za Mungu tu ziingilie kati

Kete Yao ya mwisho ilikua kujaribu weka hamshahamsha kwa wananchi baada ya siasa za ndani ya chama kuwatupa

Bahati mbaya makundi mengi walipokuwa wakilia haina ya utawala huyu mzee Ndugai na wenzie waliokuwa wakila mema walipiga kelele kushangilia na kusema "atake asitake ataongezewa"

Sasa mambo yamebadilika sana na hakuna tena future....Polepole alipiga hesabu zake akakutana na kitu hajatarajia na Mzee Ndugai vilevile kala spana za kutosha

Akijidanganya na kiburi alichozoea haoni wapi alipokosea sasa anahamsha ukabila ndio kichaka kilichobakia ili aonewe huruma na wanadodoma
Wameonea Sana watu Hawa wahuni kumbe karma is real,

pasco mayalla njoo huku
 
Yaani kama wangekubali katiba ilinde na kuheshimu Sheria pengine Leo nao wangeheshimika shida walichojitengenezea Leo hii kimewatupa nje nao wanalazimika kula matunda yao
Mawazo yao katiba mpya haiwahusu wakiwa madarakani,kesho job mfumo ukimtupa ndo wa kwanza kudai katiba mpya.
Kuna mwandishi aliwahi sema viongozi wa kiafrica huwa na akili wakishatoka madarakani
 
Bashiru anatufundisha kukaa kimya kutakuepusha na matatizo mengi
 
Back
Top Bottom