Katika majina yanayotajwa mpaka muda huu kwamba yamechukua fomu ya kuomba Uspika, limo jina la Naibu Spika Tulia Ackson, kwa maana hiyo ni kwamba huyu mama hautaki unaibu Spika, na ndio maana...
Ni muda muafaka kama Taifa tuwe na pesa yetu ya kidijitali yaani electronic currency yenye tabia na mifumo ya blockchain technology ambayo Itakuwa chini ya usimamizi wa Benk kuu ya Tanzania (...
Katibu msaidizi wa CCM komredi Solomoni amesema chama chake kimesitisha zoezi la kutoa fomu za kugombea nafasi ya Spika wa bunge la JMT baada ya muda wa mwisho kufika.
Jumla ya wanaccm 71...
Ni suala ambalo watanzania bado linawaumiza kichwa maana kwa tozo tunazokamuliwa alafu tukaambiwa na Ummy Mwalimu kuwa tozo zinatumika kujenga madarasa, zahanati vituo vya afya na kununua vifaa...
Habarini wakuu,
Tangu mjadala wa wapinzani wengine kudai tume huru ya uchaguzi na wengine katiba mpya kuingia katika taswira mpya baadhi yetu tumeingiwa na mashaka. Je, kwa nini wasimamie kitu...
Habari zenu wakuu. Bila shaka mnafanya vyema katika ujenzi wa taifa.
Tuwe wazalendo, tupendane.
Haya moja kwa moja kwenye mada. Kuhusiana na machinga. Hapo mwanzoni mwa utawala wa Samia sakata la...
Wasalaam na jpili njema wadau !
Kuna wengine wataanza kuhoji kwanini tunaongea vitu vya imani imani hapa, lakini kabla hujahoji jiulize jambo moja muhimu hapa,
*Kwanini viongozi wenyewe wanaapa...
Serikali kufanya tathimini ya wahitimu wanaomaliza katika Vyuo vya Ufundi Stadi (VETA) ili kuona namna wanavyoweza kujiajiri ama kujiajiriwa baada ya kumaliza mafunzo.
Kauli hiyo imetolewa...
Siku chache baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kusema kuwa atamvuta Ikulu aliyekuwa Waziri wa Ardhi, William Lukuvi, leo Januari 13, 2022 Rais Samia amesema kiongozi huyo atakuwa akisaidiana na...
Salaam Wakuu,
Hivi Karibuni rais Samia alitembelea Soko la Kariakoo. Akakuta watendaji hawafanyi kazi ipaswavyo(Viongozi wa Soko) akawasimamisha kazi.
Katika kufanya Uchunguzi, nashauri Polisi...
Leo bunge limetengua kanuni kuruhusu wageni wasioruhusiwa kuingia ndani ya ukumbi wa Bunge wakati wa hotuba ya Rais Samia Suluhu, miongoni mwao ni Makamu wa Rais, Philip Mpango na Rais wa...
Katiba ni mwongozo au msahafu wa nchi uliotungwa na wananchi, ambayo ni sheria mama yenye msingi madhubuti wa kutoa mamlaka za kisheria zinazo akisi matakwa ya wananchi.
Katiba ya Jamhuri ya...
Hii nchi ya Cuba ambayo ina vikwazo kiasi kwamba magari yao mengi ni yale ya kabla ya vikwazo miaka ya 1950’s mpaka sasa wana dose mbili ambazo karibu zitapata uhakiki wa WHO na tayari zina kinga...
Naam.
Tangu mwaka 2018 pale spika Ndugai alipolipiwa kila kitu na wachina kwenda kuonyeshwa presentation ya namna bandari ya Bagamoyo itakavyokuwa ikijengwa, basi amegeuka mpiga debe wao!
Ndugai...
Bila shaka yeyote, sote tunafahamu kuwa sekta ya habari iliuawa wakati wa awamu ya 5, awamu ya uongozi wa marehemu Magufuli.
Tulibakia na media bandia, ambayo kazi yake haikuwa kuhabarisha na...
Tunaposema ZITTO na CHAMA chake Sio WAPINZANI ni pamoja na Kuamua Kudai TUME ya UCHAGUZI badala ya KATIBA MPYA.
KATIBA ndio kila Kitu hiyo TUME ya Uchaguzi Waitakayo kina ZITTO lazima IONGOZWE na...
MNAOVIMBIWA MNAYO MBINGU YENU?
Na Elius Ndabila
0768239284
Leo Mhe Rais akizungumza na Mawaziri amesema kuwa wapo wanaokula zaidi ya kile walichopaswa kula. Hii ni kwamba baadhi ya Mawaziri...
Wanabodi,
Naomba kuanza uzi huu kwa declaration of interest. Mimi ni mdau mkubwa sana wa TCRA, nawakubali sana, na hadi vipindi vyao nafanya
Ila TCRA ilichomfanyia Humphrey Polepole na shule...
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
CCM WAMEDHIHIRISHA FIKRA ZA KIKABURU
Katika hali isiyokuwa ya kawaida ambayo kwa namna yoyote haiwezi isingeachwa imee...