Kikatiba na kisiasa muhimili wa Bunge ndio muhimili mkubwa (Supreme or Principal Organ ) kuliko mihilimili yote. Jukumu kubwa la Bunge ni kuisimamia Serikali na kuishauri kwa mujibu wa ibara ya...
Sayansi ya utawala inabainisha kuwepo kwa serikali ambayo ni mfumo wenye mihimili mitatu- watawala na watumishi wa dola, bunge na mahakama. kati ya hii mihimili mitatu hakuna unaojitegemea wala...
Ni nani huko CCM wa kumhakikishia mama kuwa 2025 wanaenda na yeye? Maana bila kufanya hivyo inaondoa utulivu na kuleta Maendeleo kwetu wananchi.
Bado hofu na homa ya 2025 ni kubwa, hii...
Nimekuwa nikisika Mara kwamara mtu anapofariki au kufawatu wanasema ameaga dunia, Sasa mi huwa najiulizaga kila siku ameiaga vipi na dunia iko wapi ili na sisi tuiage kabla kabisa ya madhira haya...
Kuna kina mama walikuwa sideways wakati ndugai akiongea...na walimsupport. Ndugai alisema hii ni sahihi sijui hii ni sawa. Kuna mmama mmoja akasema 'not at all.
Hao nao hawana budi kuondoka...
Mwana harakati na Mjasiriamali carol Ndosi kupitia kipindi cha Joto Kali la Asubuhi TV-E ameweka wazi kukerwa kwake na kitendo cha Rais Samia kila anapopata nafasi kuongea na Watanzania basi...
Wala sihitaji kuandika gazeti hapa, raha ya mchuzi wa mbwa ni ukiwa wa moto.
Ccm inasafisha takataka bandani mwake na tarehe 2 February tutapata spika mpya, hivyo nashsuri chombo cha juu cha...
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Tundu Lissu amesema alimpigia simu Rais Samia siku mbili baada ya kuapishwa kwake na ilipokelewa na msaidizi wake. Lissu aliacha ujumbe wa kuomba kukutana na Rais...
Mwalimu Mwakasege amesema kufuatia mabadiliko yanayokuja duniani kote kutokana na athari za Covid 19 tutegemee uvunjifu wa amani, fitna na hata maandamano.
Mwakasege amesema mabadiliko ya...
CHADEMA imetoa shukrani rasmi kwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kitendo cha kumtembelea Tundu Lisu Nairobi hospital alipolazwa baada ya kupigwa risasi na watu wasiojulikana
Mwenyekiti wa CHADEMA...
Kwa yanayojiri Ikulu Dar katika mkutano wa Rais kupokea taarifa ya matumizi ya fedha za UVIKO 19, Spika wa bunge Ndugai ameshambuliwa sana pamoja na kuomba kwake radhi.
Pamoja na vijembe...
Nawatakia nyote Heri ya mwaka mpya 2022.
Hili ni bunge la 12, je litabaki hivyo baada ya ujio wa Spika mpya?
Ni katika kujielimisha tu.
Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
Kupigiwa mizinga 21? , Kuwekewa red carpet? Kuvaa tai nyekundu? Kuwa na walinzi kama njugu?
Kuna nini kwenye haya mamlaka ya kutawala na kuwa mkuu wa nchi?
Je sio kuwatumikia na kuwaletea...
Mimi sikuwa muumini wa katiba lakini ,sakata la speaker msitaafu job ndugai limenifungua macho, muhimili wa bunge hauko huru,rais ana mamlaka ya kumng'oa speaker asubuhi mapema kama ilivyo Sasa...
Ndugu wanajukwaa nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Taifa la Tanzania kwa sasa tunahitaji katiba mpya. Uhitaji huu ni wa lazima kwasababu wote tumeshuhudia jinsi ambavyo...
Sioni ni kwa namna gani Spika Job Ndugai atakiepuka kikombe hiki cha kuubwaga chini uspika
Waathirika nambari moja wa kitendo cha Apika kuondoka watakua ni wabunge wa mbeleko Ndugai aliolazimisha...
Ndugu zangu wa JF
Nitoe maoni yangu kama Mtanzania Mzalendo kufuatia kauli ya Ndugai kubeza kitendo cha Rais Samia kuendelea na Sera ya kukopa Fedha nje ya Nchi kugharamia miradi ya Maendeleo...
Nimejaribu kufuatilia kinachoendelea mpaka nikashangaa watanzania walivyo mbumbumbu, nilivyomsikia ndugai sidhani kama alimaanisha watanzania tusikope kabisa bali ametizama matumizi ya mkopo wa...
Nawaza tu kama spika ameongea tena hadharani,
akiwa katika mhimili unaoruhusu kufanya ivo.
Je Samia angewafanya nini Nape, January, Kinana nk.
ndani ya chama kwa sauti zilizovuja wakiunanga...
Mara baada ya kauli ya Spika aliyejiuzulu ,mzee Mbatia alijitokeza na akaanza kushabikia na kumpongeza Spika na kutaka watanzania wajadili tamko la spika.
Namshauri mzee Mbatia aache tabia ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.