Wakati Patrobas Katambi anaachana na Bavicha na kujiunga UVCCM alisema amechoka kutumika kama " Karai la kubebea zege" kule Chadema hivyo amekuja CCM kupumzika.
Baadae nikamsikia Katibu mkuu wa...
CCM ya Rais SSH iko imara baada JPM kufanya kazi ngumu ya kuimaliza CDM - sasa tujielekeze kuidhofisha ACT Wazalendo
CDM watagombea nchini ubelgiji;
ACT ndio waangaliwe kwa jicho kubwa. Lkn pia...
Mama alipokea kijiti ch mwendazake baada ya mauti kumkuta
Awamu hii inaisha 2025 maana yake utawala wa awam iliyoisha
Mimi nadhan mama kama anataka kuwa raisi 2025-2030 basi anapaswa mwaka 2025...
huyu jamaa siku hizi kama simwelewi yupo upande upi, inaonesha wakati anakabidhiwa usipka hakupata shule ya kutosha kabisa kutoka kwa bi mkubwa Makinda.
mfano angalia hapo chini kauli 2 tofauti...
Hii kampeni #TwendeNaMajaliwa2025# ilikuwa chini ya Ayubu na wenzake. Ilikuwa imeshaanza kuota mizizi nchini kwani viongozi wengi wa chama na jumuiya pamoja na wabunge wengi wa CCM walikuwa...
Naomba nitoe nasaha kwa watawala kujitahidi kuwa wastahimilivu kwa viongozi wenzao na wananchi wengine. Na pia wajitahidi kufuata sheria, kanuni na taratibu zinazotoa nafasi pia kwa wangine bila...
Mimi ni mkristu safi naomba ifahamike hivyo, Nimeokoka na nampenda sana Mungu Baba, Yesu kristu na Roho Mtakatifu,
Mungu wangu ananguvu kuliko nguvu zenyewe, hakuna linaloshindikana katika yeye...
Kiuhalisia huyu mmiliki wa jamii forum aliyepelekwa mahakamani na Meko ana nguvu na ustahimilivu wa Hali ya juu kushinda hata wa jobu ndugai, amefanya jamii forum kuwa platform huru sana na...
Upo uwezekano wa vizazi vitakavyokuja huko mbeleni kumuona job ndugai shujaa aliyekataliwa na jamii nzima.
Hebu fikiria miaka kadhaa ijayo wajukuu wetu watakuta hali gani ya madeni na maendeleo...
Baada ya Mh Rais kusema wazi kuwa wananchi waambiwe kuwa gharama za umeme sio 27,000 tena kama alivyotangaza Rais mwaka jana.
Hivi gaharama za kuunganishiwa Umeme zanzibar zikoje?
ZESCO imekuwa...
SIKU moja mara baada ya aliyekua Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai kutangaza rasmi kujiuzulu wadhifa wake wa Uspika, baadhi ya wakazi wa Shinyanga wametoa maoni yao...
Ukifuatilia siasa za Tanzania ndivyo huwa zilivyo hivi hasahasa CCM ndio huwa wanaleta taharuki ukiwa mgeni kwenye haya mambo unaweza kudhani nchi itagawanyika lakini la hata haitakua hivyo hali...
Naona mmekenua meno na vijinopembe huku mkisahau kuwa kisiasa mna hali mbaya sana. Maana pamoja na kutembeza mabakuli ya kidigital lakini hamkupata sapoti
Mbali na hilo wananchi hawana imani na...
Leo Samia amefanya kosa kubwa sana kwa kitendo chake cha kujibu mashambulizi kwa Ndugai.
Hii mbungi ya Ndugai ndo ilikuwa chance kubwa ya mama kuwajua maadui zake kwa kirefu.
Mama angepaswa kuwa...
Mwaka 2022 hadi 2023 kutatokea mabadiliko makubwa ya viongozi katika ngazi za Kati na ngazi za juu.
Sababu zipo nyingi Ila sababu kubwa ni hii "kukosa washauri sahihi juu ya kupata majibu sahihi...
Huu ndo ukweli hii ni serikali ya Mpito kwakuwa haujafanyika uchaguzi wa kumchagua Rais, Rais aliyekuwepo madarakani alifariki hivyo katiba imempa alikuwa makamo wa Rais awe Rais japo katiba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.