Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Anaandika Godless Lema: “Tofauti yetu kubwa na Mh Rais SSH iko ktk madai ya Uhuru wa Kisiasa, Demokrasia, Katiba mpya na Haki za Wafungwa wa Kisiasa akiwemo Mkti Mbowe. Lakini kama kuna ugomvi...
33 Reactions
52 Replies
5K Views
Kama mnawajua watajeni majina yao ,ndio mtawafahamu ni akina nanni na wanahusiana ni ndugu au watoto wa wakuu wakuu ,nyie andikeni majina yao hapa ,mtazidi kuzinduka.
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Wale waliodhani Wana deal na Samia, Sasa nadhani wanajua Wana deal na taasisi ya Urais moja kwa moja, taasisi hii ikifungua makucha yake, ni hatari sana. Pale Kuna full squad ambayo imeapa...
14 Reactions
71 Replies
5K Views
Tuweke Kila Kitu pembeni , Yani tuwe Kama wachambuzi wa soka, uchama pembeni, nataka Leo tumalize utata wa nani mkali na Ana akili na IQ kubwa Kati ya Nape na Pole Pole , Achaneni na mambo...
4 Reactions
126 Replies
11K Views
Ni wakati wa Kassim Majaliwa naye kujiuzulu Uwaziri Mkuu ili mama aunde Serikali yake kamili na awe na amani. Kassim asiwe kikwazo, Ubunge unamtosha na ustaafu pia. Aking'ang'ania kila...
11 Reactions
123 Replies
14K Views
"Kulazimishwa kwa Spika Ndugai kujiuzulu kunathibitisha wazi kabisa kile ambacho tumekisema kwa miaka mingi, kwamba kwa mfumo wetu wa kikatiba na kiutawala tuna muhimili mmoja tu wa dola na...
38 Reactions
171 Replies
9K Views
Hatua yoyote itakayochukuliwa kwamsingi wa kauli ya Zitto mbele ya Rais haina tafsiri nyingine isipokuwa ni Mbowe amekiri makosa ya kubambikiwa ugaidi na hivyo kuununua uhuru wake. Jambo hili mimi...
26 Reactions
128 Replies
10K Views
Mwalimu Mwakasege amesema kufuatia mabadiliko yanayokuja duniani kote kutokana na athari za Covid-19 tutegemee uvunjifu wa amani, fitna na hata maandamano. Mwakasege amesema mabadiliko ya...
2 Reactions
5 Replies
997 Views
Tunakoelekea mambo yatakuwa moto kama Rais ataamua kusimamia yale anayoyaamini kuwa ni sahihi kwa taifa. habari za mitandao huko zinasema kuwa ziko harakati za kumkwamisha katika utekelezaji wake...
6 Reactions
73 Replies
5K Views
Kwanza nianze na chama tawala CCM, kwa hali ilivyo hadi sasa si shwari ndani ya chama cha CCM, kuna mpasuko mkubwa ,mpasuko huu umesababishwa na kutofautiana kiitikadi na misimamo. Kundi la kwanza...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wanajamvi, Kwa mnaoulizia baada ya Ndugai kujiuzulu, nini kinafuatia? Inawezekana jibu ni kumeguka kwa CCM. Chama Kipya cha Umoja Party kipo malangoni mwa Msajili wa Siasa kwa minajili ya kupata...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hapa ni Jimbo la Nkasi ambako Kampeni ya kisasa ya usajili wa kidigital inaendelea Mungu ibariki Chadema
2 Reactions
1 Replies
419 Views
Wabunge walioingia mjengoni kwa Hisani ya mwendazake hawawezi kuwa na uchungu na wananchi wa majimbo yao wala nchi kwa ujumla. Na kwa maana hiyo hawawezi hata siku moja kukusaidia katika kuondoa...
4 Reactions
11 Replies
813 Views
Hakuwa ameandaliwa kama mbadala wa Nafasi hii zaidi ya nafasi ya usaidizi ili kuleta Gender balance, Tukio Lilitokea ghafra pasi na yeyote kutegemea, Aliyekuwa anaandalia na mkalia Nafasi ili...
11 Reactions
44 Replies
2K Views
Kila naposafiri huwa najikuta nakuwa mtu wa kuumia badala ya kuifurahia safari. Naumia kwa sababu nchi yetu kwa kiasi kikubwa ni mapori tena yanayostahili watu kuyaishi ukitoa hifadhi. Vimji...
0 Reactions
6 Replies
696 Views
Katika salamu zake za rambirambi, naibu spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Tulia, amesema kuwa Spika wa Bunge amemtuma aje kuwakilisha kwasababu yeye (Spika) anaendelea...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Rais wa zamani wa Zambia Edgar Lungu anatajwa kuwa miongoni mwa viongozi wa kiafrika waliopenda kuabudiwa , ilifikia hadi Mawaziri kumpigia Magoti . Picha ya Chini akisindikizwa kuondoka Ikulu...
30 Reactions
77 Replies
7K Views
Hayati Magufuli Mungu amlaze mahali pema peponi. Amekufa na siri nzito za Taifa hili na ameacha cheche za mapinduzi ndani ya watanzania na cheche hizi hazito waacha watu salama wanao dhani kifo...
18 Reactions
39 Replies
3K Views
Unajua nisiseme sana ila ndani ya chama chetu pendwa CCM kuna vita inaendelea hadi nadhani wenye akili wamebaki kucheka na kuwasubiria watu sehemu pia zisizo julikana Hivi unajuwa kwanini huyu...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Back
Top Bottom