Kongole wanaJF.......kutokana na spika kuwajibika kwa bunge na wananchi, ikiwa matamshi yake yalikiuka mwenendo, sheria na taratibu za bunge, shutuma hizo zilitakiwa kuibuliwa na bunge lenyewe na...
habari gani waungwana......
Inasikitisha na kuhuzunisha pale mambo yanayotakiwa yatolewe ufafanuzi na wizara ya elimu,,hivi sasa yanatolewa maelezo na wizara ya tamisemi...
Imekaaje waziri wa...
Kama Tundu Lisu anasema nchi hii huongozwa kifalme basi mfalme ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi.
CCM ndio muhimili uliojichimbia chini zaidi tangu enzi za Chama Kimoja na hata sasa.
Mzee...
Rais Samia amesema Tanesco hawawezi kuunganisha umeme kwa gharama ya Shs. 27,000/= kwa wananchi wote wa vijijini kwa sababu gharama zinatofautiana kutoka sehemu moja hadi nyingine.
Kwa hiyo...
Nauliza tu maana bila kuambiwa kama amekubaliwa kujiuzulu anaweza kutengua barua hiyo na hakutakuwa na la kumfanya. Unapojiuzulu mamlaka unayowajibika kwake inatakiwa iseme imekubali. Hii ndio...
Wale wawekezaji wa michongo Sasa wanahaha, Chato Ina magesti house mengi saana na yamejengwa kwa mikopo, wengi waliojenga walitarajia mzee angekaa madarakani miaka mingi sana. Kuna makumi ya...
Kwa nini utuibie?
Rais. Unalipwa mshahara mkubwa kuliko mtumishi yeyote wa umma, unalipwa marupurupu kibao; ukistaafu utaendelea kutibiwa bure ndani na nje ya nchi, utalipwa 80% ya mshahara wa...
Nakumbuka mwaka 2008 nikiwa mitaa ya Kisasa ama nyumba mia tatu nilisikiza hotuba kali kutoka bungni Lowassa akiachia uwaziri mkuu wa jamhuri yq mungano wa Tanzania chini ya spika Samwel Sitta...
Nimekuwa nikijiuliza Ili swali na sipati majibu, hivi Rais wa Tanzania anadanganywa au yeye ni Muongo au hajui anayokuwa anayasema saa nyingine?
Mfano kauli zake za leo za ajira na fursa za ajira...
Kulinganga na Tatizo Sugu la ajira Nchini, ni wazi sasa Serikali iunde Wizara maalumu (Wizara ya Vijana na Ajira)na wapewe Target ya kutafuta Sulu na ubunifu vijana Tupate Ajira..
Malengo ya...
Katika ulimwengu wa sasa,ulimwengu ambao watanzania wengi wana uelewa na kuweza kuhoji kila sentensi inayotolewa na Kiongozi,ni wazi kuna haja yakurekebisha Bunge letu.
Baada ya utumushi wa Spika...
Chama cha Mapinduzi wanafanana sana na Vodacom, wanaweza kukuibia kifurushi chako hivihivi ukiangalia. Hakika wao ni chama kubwa, wenye sera nzuri lakini zilizopo kwenye makaratasi, ambazo...
Habari za asubuhi kwa mtakaosoma.
Kama kichwa kilivyo hapo juu, nashauri Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi kukutana haraka sana iwezekanavyo kujadili hili swala la Ndugai.
Vyama vyote vikubwa...
Spika wa Bunge Job Ndugai amebakiza siku chache sana za kukalia kiti cha uspika, sioni uwezekano wowote wa yeye kurudi bungeni kwa kipindi kingine.
Tunashukuru kwa mchango wake ameandika historia...
Wakati matatizo yetu watanzania yanaongezeka kila kukicha huku mkituzibia masikio tatizo lenu la kutishiana vyeo mmelipa umuhimu mkubwa kupindukia! Hali hii ndiyo inayotufanya tunatimiza miaka...
Kauli hiyo ameitoa Bungeni Dodoma, jana jioni Juni 10, 2021, wakati akimkaribisha Bungeni, na kuongeza kuwa Mama Makinda, amekuwa ni mwalimu wake kwa kipindi kirefu tangu alipoingia Bungeni kwa...
SURA YA SITA
MUUNDO WA JAMHURI YA MUUNGANO Ibara ya 60 Muundo wa Muungano
a. Maudhui ya Ibara
Ibara ya Rasimu ya Katiba inaainisha muundo wa Muungano wa Shirikisho la Serikali tatu, ambazo ni...
Nimeisikiliza hotuba ya Mama Samia!
Ilikuwa nzuri sana!
Kuna waliimchokoza mama, wametikisa kiberiti. Mama kasema kimejaa!
Mchokozi namba moja ni wa ule mhimili, Jobu Ndugai. Ndugai kajibiwa...
Anaandika Godless Lema:
“Tofauti yetu kubwa na Mh Rais SSH iko ktk madai ya Uhuru wa Kisiasa, Demokrasia, Katiba mpya na Haki za Wafungwa wa Kisiasa akiwemo Mkti Mbowe. Lakini kama kuna ugomvi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.