Naibu waziri wa ujenzi Mwita Waitara amewasimamisha kazi Watumishi wawili wa mamlaka ya bandari kufuatia kitendo cha watendaji hao kuficha taarifa za ubovu wa meli mpya iliyopokelewa mwaka jana...
Nafikiri mpaka sasa Watanzania wengi watakuwa wamepata habari kuhusu tukio la spika wa bunge kujiuzuru. Swali litakalofuata ni, nani anafaa kuziba pengo lake?
Mimi binafsi nafikiri Mussa Azzan...
Tundu Lissu umepigwa risasi ukipigania haki ya kuhoji na kumpinga Rais. Sasa imekupasa kufanyika mfano wa utaua na mzee wa kitaifa, a towering statesman
Spika Ndugai hakujali ulipopigwa risasi...
Jeshi la Polisi limevamia ofisi za CHADEMA kanda ya Kaskazini na kuzuia maandalizi ya Kongamano la Tume huru ya uchaguzi lililopangwa kufanyika leo Jan 8 mwaka 2022
Kongamano hili ambalo mgeni...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nikipata fursa huja na zile makala zangu Kwa Maslahi ya Taifa, ambazo huchapishwa na gazeti la Nipashe la kila siku za Jumapili.
Wajameni, ni mimi tuu au na...
Hili lipo wazi kabisa uongozi wa taifa hili chini ya CcM ni kurithishana na kupeana mapande ya kupiga madili.
Mwaka 2025 ndio wakati muafaka wa kuwaadhibu.
Maana wanarithishana upigaji madili na...
Kama kawaida muda unakwenda kasi sana imekua kama muujiza Humphrey Polepole kuanza kuparuana makucha na MICCM mienzake chanzo halisi kikiwa hakieleweki
Naiona harufu ya CCM kumtumia huyu bwana...
Ndugai ameonekana kuhoji mkopo wa serikali wa Tril.1.3,ni sawa lakini tukumbuke mambo mawili yafuatayo:
1.Mbona hakumuunga mkono CAG prof.Assad kipindi ambacho palikuwa na matumizi mabaya...
Siku Magufuli alipotamka hadharani kwamba Kabudi na Lukuvi hawatagombea Urais kwa sababu ya umri wao mkubwa, wengine walicheka wakiichukulia kama ni kauli ya ghafla. La hasha, hii ilikuwa ni kauli...
Wakuu amani iwe nanyi,
Jana Mh Rais ameteua Baraza la Mawaziri na miongoni wa Mawaziri walioteuliwa ni aliyekuwa Mkurugenzi wa kituo cha uwekezaji Tanzania Mr Geoffrey Mwambe.
Geofrey Mwambe...
Nimeshangazwa na kauli hii ya Mh Rais, kuita msimamo wa mteule wake Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje, kuwa NONSENSE, tena hadharani.
Nimesikitishwa na kauli hiyo kwa sababu...
Gazeti la mwananchi la May 20, 2010 lilivyomnukuu JK
MWENYEKITI wa CCM, Jakaya Kikwete amepiga msumari wa mwisho kwa aliyekuwa mwenyekiti wa UVCCM Hamad Yusuph Masauni, akisema alijimaliza...
Niwe mkweli tu CDM ndio chama pinzani chenye ushawishi na nguvu kwasasa katika siasa za nchi yetu.
Hakuna atakayebisha hali waliopitia miaka mitano ya uongozi wa Hayati Mzee Magufuli, ilikuwa...
Mpaka sasa kuna wingu kubwa sababu ya Ndugai kusakamwa na mpaka akajiuzulu. Kama kuhoji juu ya mkopo wa tril 1.3 huku kuna tozo za miamala haukuwa na kosa. Maana ulihoji kama Spika na mtanzania...
Baada ya kustaafu uspika Ndigai analipwa mafao take ya pension ambayo tunaambiwa no pamoja na 80% ya mshahara wa spika aliyeko madarakani na mafao mengine. Swali langu ni je mshahara na mafao yake...
Habari WanaJF,
Wote tumeona taarifa ya Kujiuzulu kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania naomba kujuzwa yafuatayo;
Je, Hatua gani hufuata kwa mujibu wa Sheria na Katiba ya Nchi...
Mzee Mgaya anasema Toba ya Ndugai kwa Rais na Wananchi iko kichama zaidi na ni utaratibu wa kawaida kwa kila anayekikosea chama.
Kwa mfano wanaccm wote waliohamia Chadema walipotaka kurejea...
Kuna mwanahabari alielezwa hili jambo kuwa japokuwa kuna mihimili mitatu ya dola yaani Bunge, Mahakama na serikali kuu. Mhimili mkoja umejisimika zaidi. Maana umejichimbia zaidi na kusimika...
Taarifa ya Chadema Mkoani Kigoma inaeleza kwamba, Mh Mnyika atashiriki Shughuli za mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Mkoani humo Ally Kisalla, yanayotarajiwa kufanyika leo.
Kamanda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.