Serikali ya CCM haioni aibu kudanganya juu ya kukamilika mradi wa Sgr Dar to Moro?

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Oct 2, 2020
2,110
2,000
Wakati wa hayati JPM tuliambiwa mradi utakamilika Nov 2019. Hapo tukapata uhakika wa kutembea na train Dar Moro kwa nusu saa.

Baadae mambo yakabuma tukaambiwa mwaka 2020 mapema tu mradi utakamilika.

Baadae tena baada ya JPM kufariki tukaambiwa April 2021. Lakini mpaka sasa ni kimya kizito.

Tukapigwa sound kuwa ni Agosti 2021 kila kitu kitakamilika na mabehewa yameshakamilika. Mpaka sasa ni kimya na tunaitafuta 2022.
 

Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
56,703
2,000
Tuwe wapole tu...watakamilisha, ukitazama hadi sasa ni kama wamebakiza sehemu ndogondogo mno kwenye njia ya treni
 

KISIWAGA

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
4,248
2,000
Na unaambiwa zile pesa lile dubwana la chato lilikopea SGR tayari zimeanza kulipwa

Lile dude limeiingiza hii nchi kwenye madeni makubwa kwa sababu ya kukopa kwenye vibank & vitaasisi uchwara
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom