Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mhe Rais alitamka maneno haya hivi Karibuni Nimeona niulete hapa huu usemi ili Wanafasihi na Wataalamu wa Lugha ya Kiswahili Watumbie Mama hasa alikusudia nini kwa maneno haya "MOYO WANGU SI WA...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Hakuna kiongozi wa wizara ya Elimu (hawa wapya) anayefahamu matatizo ya elimu yetu. Elimu yetu inaweza kufa kabisa. Soon, very soon, Presdent Samia atafanya mabadiliko tena. Kule ardhi mama...
3 Reactions
4 Replies
925 Views
Baba anajitolea kulinda Taifa, anafukuzwa kazi nakurejea Uraini. Anatafuta kazi yakumwezesha kulisha familia, Kwa kuwa hakufanikiwa kusoma sana na kwa kuzingatia ugumu wa Maisha uliopo na hili...
34 Reactions
57 Replies
7K Views
Hizi ni siasa za kitoto kabisa. Maana kama mtu alikuwa Chadema na akawahama na kwenda Ccm kisha kusambaratisha ngome yenu ya Tarime kuna ubaya? Kaachwa na rais wa JMT kuteuliwa mnabaki kueneza...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Tusiwe wasahaulifu kiasi hiki, uchaguzi wa 2015 ulikua na dosari kubwa ambazo waasisi na wasimamizi walikua by then ni "Vijana" walioaminiwa. January Makamba ambaye sasa ni Wazuri, huyu ndio...
8 Reactions
20 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa katiba ya JMT ya 1977 Spika wa bunge la JMT siyo lazima awe mbunge. Za chini ya kapeti zanasema huyu ndiye mrithi sahihi wa Ndugai pale atakapojiuzulu. Ni kama ambavyo Spika Ndugai...
5 Reactions
34 Replies
46K Views
CCM imeshatangaza mchakato wa kumpata Spika mpya wa bunge la JMT kupitia chama hicho baada ya kumfurusha " Wakuja" Job Ndugai. Mchungaji Msigwa akajaribu kuwafundisha CCM ni nani atayefaa kuwa...
9 Reactions
76 Replies
4K Views
Ukiangalia mabadiliko aliyoyafanya ya baraza la mawaziri na makatibu wakuu wa wizara amefanya kwa kudanganywa. Si kweli kwa maoni yangu kwamba Proffesor Palamagamba, William Lukuvi, Goefrey...
17 Reactions
105 Replies
7K Views
Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima amemshauri Spika wa Bunge, Job Ndugai ajiuzulu kutokana na mpasuko ambao amesema anauona Gwajima amesema anaona Ndugai anataka kuchonganisha...
12 Reactions
128 Replies
11K Views
Jana Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ilitangaza kuwa katika robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2021/22, serikali imefanikiwa kukusanya kiasi cha shilingi trilioni 5.151, ikiwa ni asilimia 94 ya...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Mh. Job Ndugai. Baada ya kujiuzulu vyombo vyote vya habari vikiongelea suala lako. Iwe BBC, VoA, DW na vi-fm vyetu huku mtaani habari ilikuwa ni Ndugai. Kwanini nasema ukae kwa kutulia, watu...
4 Reactions
38 Replies
3K Views
Katiba ya JMT Sura ya 3 ibara 64.-(1) inasema Mamlaka yote ya kutunga sheria juu ya mambo mengine yote yahusuyo Tanzania Bara, yatakuwa mikononi mwa Bunge. Mchakato mzima wa kutunga sheria ni...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Fredrick Werema, amesema bunge halina mamlaka ya kumwajibisha bali anaweza kuwajibishwa na aliyemteua tu. CHANZO: HabariLeo MY TAKE: Ni kweli kabisa na ni...
5 Reactions
126 Replies
19K Views
BUNGE LA TANZANIA HALINA MAMLAKA YA KUHOJI UTENDAJI KAZI WA RAIS KATIKA ANDIKO HILI NIMELENGA KUELEZA YAFUATAYO; Kwanza nitaeleza kuwa Bunge la Tanzania halina mamlaka ya kuhoji utendaji kazi wa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kume kuwa na kauli kutoka kwa baadhi ya wanasiasi kulitumia suala la mikopo na Madeni ya nchi kinyume na Uhalisia!. Serekali ipo Madarakani kwa niaba ya wananchi. Hivyo Jambo lolote ambalo...
2 Reactions
15 Replies
889 Views
Tulipoambiwa Kuna mabadiliko ya baraza kuwaruhusu wagombea Urais 2025 wakajiandae tulidhani wakitumbiliwa tutawaona Kwa sura zao na kusema hakika Hawa niwanamtandao wa Uchaguzi 2025...
5 Reactions
4 Replies
999 Views
Wanasema ukitaka kumuua nyoka "mpige kichwani", hivi ndivyo wafanyavyo wao kwa kukupuliza ujae upepo mwishowe wakutoa kwenye reli ukae pembeni wamuweke kibaraka wao. Japo Mh. una vyombo vya...
3 Reactions
4 Replies
895 Views
Ukweli ndio huu, mpaka tuje tufanye uchaguzi mkuu mwaka 2025 tutakuwa tumeshaumizwa sana. Maana kuna dalili za safu ya kulipiga na kulimaza kabisa hili taifa. Sasa kuna uwezekano wa kutumia bunge...
3 Reactions
8 Replies
945 Views
Habarini za saa hizi ndugu, adui, rafiki na jamaa yangu wa humu JamiiForums. Nataka kuzungumzia hili suala la watu wengi kufikiria (ponder] juu ya nani ajaye kama spika wa bunge. Kama wengi...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom